Utabiri wangu kuhusu Ronaldo na Madrid....

mapipando

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,922
Reaction score
3,559
Habari wadau,

Natabiri kuwa huu ni msimu mwingine tena kuendelea kuona rekodi zikivunjwa na kuwekwa na Real Madrid pamoja na Christiano Ronaldo.

Madrid wameweka rekodi ya kutetea kombe la Uefa,pia ndani ya misimu minne wamelichukua mara tatu.

Sasa basi msimu huu wanalieba tena na kuendeleza rekodi ya timu pekee kuchukua mara tatu mfululizo halafu ndani ya misimu mitano itakuwa imechukua mara 4, what wonderful it is?

Sawa Messi atanyakua kombe la La Liga pamoja na kiatu cha ufungaji bora lakini Christiano atanyanyua la Uefa na kuwa mfungaji bora,na hili ndilo litakalomfanya kuwa mchezaji wa kwanza kuchukua Ballon d'or nyingi zaidi.

Ronaldo ni wa Uefa na Messi ni wa La Liga.
 
kumtoa psg ndo unadhan madrid atachukua uefa ? yule kocha wa psg hajielewi, ana wachezaji wazuri lakini ameshindwa kuwaorganize, huwa anabahatisha kupanga kikosi, ataishia kuchukua league one tu...

back to the topic, uefa ya mwaka huu bado iko open kina bayern, barca man city wako vizuri... kati ya hizo timu tatu mshindi atatoka hapo.....

mark my words....
 
Nina uhakika ukitoka ndotoni utabadili kauli yako.
 
Baada ya Vilaza wote kutoka kwenye hii round of 16 hapo na tukishajua nan anakutana na nan robo fainal bas tutajua kama utabir wako utatimia
Tuwe na subra mkuu.
Ni suala la wakati tu.
 
kumtoa psg ndo unadhan madrid atachukua uefa ? yule kocha wa psg hajielewi, ana wachezaji wazuri lakini ameshindwa kuwaorganize, huwa anabahatisha kupanga kikosi, ataishia kuchukua league one tu...

back to the topic, uefa ya mwaka huu bado iko open kina bayern, barca man city wako vizuri... kati ya hizo timu tatu mshindi atatoka hapo.....

mark my words....
Umesema sahihi kuwa game bado iko wazi, ila umeshindwaje kumjumuisha bingwa mtetezi kwenye kulibeba kombe?
Hawashindi kwa dondokela,wanashinda kwa mipango sasa iweje usiwaogope hawa viumbe?
 
kumtoa psg ndo unadhan madrid atachukua uefa ? yule kocha wa psg hajielewi, ana wachezaji wazuri lakini ameshindwa kuwaorganize, huwa anabahatisha kupanga kikosi, ataishia kuchukua league one tu...

back to the topic, uefa ya mwaka huu bado iko open kina bayern, barca man city wako vizuri... kati ya hizo timu tatu mshindi atatoka hapo.....

mark my words....
Umemaliza Mkuu
 
Haswaaa namm nakazia.

Madrid niatachukua UEFA ,, kwasababu mpira wa ulaya unaendeshwa na watu fulan.

Zidane anatakiwa abakie madrid ,ivyo kupona kwake nikuchukua kombe .
 
ndo kwanza kumekucha...kuwa mvumilivu.
 
kumtoa psg ndo unadhan madrid atachukua uefa ? yule kocha wa psg hajielewi, ana wachezaji wazuri lakini ameshindwa kuwaorganize, huwa anabahatisha kupanga kikosi, ataishia kuchukua league one tu...

back to the topic, uefa ya mwaka huu bado iko open kina bayern, barca man city wako vizuri... kati ya hizo timu tatu mshindi atatoka hapo.....

mark my words....
usimsahau Liverpool
 
Madrid ni shida bob...
 
nakuunga mkono na mguu mtoa Post.
Madrid hana cha kupoteza sasahv ktk UEFA.
mana katika mbio za LaLiga hayumo na Capa del Rey hayupo kimbilio ni UEFA pekee.
na wanalitolea macho vilivyo
Jana mbali na Madrid kung'ara,huyo Ronaldo utafikiri ndio kwaaaaanza ana miaka 25 hilo balaa alilokuwa analifanya.
Always Ronaldo akiwa on fire Madrid kwa ujumla wake pia huwa.
 
Back
Top Bottom