Utabiri wangu kulingana na Uhalisia: Namba mbili au namba tatu mmoja lazima apumzishwe

Mkuu ipi ni gharama kubwa, kuwa na mtendaji asiyetimiza majukumu yake umlinde na kazi ziendelee kulala ili mradi tu usiongeze number ya wastaafu ama !!
Serikali nzima haitimizi majukumu yake.

Nitajie mtu mmoja kwenye serikali anayetimiza majukumu yake.
 
Ukweli dhuluma huwa haidumu milele
Awamu ya tano iliwahusu wa Zanzibar kuweka Rais baada ya Kikwete

Mungu atujibu kwa kumleta Samia toka Zenji
Hivyo na hayo Mzee Pasco yanawezekana
 
Inabidi tubadili desturi zetu za maisha na siyo kuishi haya maisha ya ramuli. Inasikitisha sana kuona tunakuja na fikra za ajabu namna hii. HAPANA HII SI SAWA HATA KIDOGO. TUBADILIKE NA TUELEWE MUNGU NDIYO MUWEZA WA SOTE NA SIYO RAMULI
 
Kasome kule aisee kumbe Katelephone ni chatu
 
Halafu tangia mwendazake aondoke sijasikia habari za matamko ya covid au alikuwa nayo mwenyewe wameona kawapisha? Mambo mazito haya!
Kuanzia January na February watu humu mitaani walipuputika na kubanwa kifua, ilikuwa upepo mubaya, so na jiwe huo upepo ulimpitia pia
 
Kuanzia January na February watu humu mitaani walipuputika na kubanwa kifua, ilikuwa upepo mubaya, so na jiwe huo upepo ulimpitia pia
Hivi huu upepo umepita au upo bado?
 
Kuna kuchomoka kwa aina mbili kwa mpango wa binadamu na mpango wa mungu.
 
Serikali nzima haitimizi majukumu yake.

Nitajie mtu mmoja kwenye serikali anayetimiza majukumu yake.
Majukum yote yanatekelezwa ikiwa ni kuhakikisha nchi ipo salama, kutoa huduma za kijamii, kukusanya mapato na kusimamia Rasilimali . Labda utaje wewe kipi hakifanyiki

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Acha kuharibu mfungo wa watu wewe
 
Kuanzia January na February watu humu mitaani walipuputika na kubanwa kifua, ilikuwa upepo mubaya, so na jiwe huo upepo ulimpitia pia
Hiyo sikatai baada ya jiwe kupitiwa vipi matamko kutoka kwa mabeberu siyasikii tena hapo ndipo najiuliza au mie ndiyo nina tatizo lakutofuatilia labda.
 
Majukum yote yanatekelezwa ikiwa ni kuhakikisha nchi ipo salama, kutoa huduma za kijamii, kukusanya mapato na kusimamia Rasilimali . Labda utaje wewe kipi hakifanyiki

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Nchi ipo salama watu wanakufa kwa Covid 19 rais kakataza chanjo, watu hawapimwi, hakuna isolation, hata barakoa ni mgogoro.

Hapo kuna usalama au maigizo ya usalama tu?

Watu wanakufa kwa kipindupindu mpakanm leo, ugonjwa wa uchafu wa kula mavi.

Hapo kuna usalama?

Watu wameibiwa hela zao zikiwa benki, wameibiwa na serikali, mpaka rais mpya kaona aibu kasema wasiibiwe hela zao benki, hapo kuna usalama?

Wewe una confuse watu kuishi kwa ubishiubishi na usalama naona.

Nimekwambia nitajie mtu mmoja serikalini anayetimiza wajibu wake, umeshindwa kutaja jina la mtu yeyote.

Nitajie jina la mtu mmoja na kazi yake ni nini tumchambue hapa kama anatimiza wajibu wake serikalini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…