Utabiri wangu mechi mbili za leo

Utabiri wangu mechi mbili za leo

Utabiri wangu ni kwamba simba atafungwa, yanga atashinda.
Japo sijui kwa magoli mangapi!
 
Kwa hiyo Simba anasinda na Yanga anakalishwa......

Hivi ndio umeamua iwe sio
 
Power Dynomos 0 Simba 1 au Power Dynamos 0-Simba 2
Al Marekh 0 Yanga O au Almarekh 1- Yanga 1.
Nilishafatilia nyuzi zako nyingi, mara kadhaa nilikuwa siziamini ila mwisho wa siku matokea yalikuwa kama ulivyotabiri au kutofautiana kidogo, ila siyo kinyume chake.

Umeongea simple, kwa kujiamini bila kuweka explanations. Ukiwa na uhakika wa kitu huhitaji kujieleza sana, unawaacha wasioamini waendelee kutoamini.

Kupitia uzi wako naenda kuweka mkeka sasa hivi.
 
Kwa hiyo Simba anasinda na Yanga anakalishwa......

Hivi ndio umeamua

Anyway mimi natabiri upande wa Zambia, eiza Simba anashinda au Dynamo anashinda au wanaenda draw na upande wa Kigali, hapa kama sio Yanga anashinda au El Mereik kushinda basi wanaenda draw. Kama Kuna mtu anabisha au haniamini basi tuwekeane hela milioni kwa milioni
 
Nilishafatilia nyuzi zako nyingi, mara kadhaa nilikuwa siziamini ila mwisho wa siku matokea yalikuwa kama ulivyotabiri au kutofautiana kidogo, ila siyo kinyume chake.

Umeongea simple, kwa kujiamini bila kuweka explanations. Ukiwa na uhakika wa kitu huhitaji kujieleza sana, unawaacha wasioamini waendelee kutoamini.

Kupitia uzi wako naenda kuweka mkeka sasa hivi.
Kula chuma hiko

Kula chuma cha pili hiko

Back
Top Bottom