Ushaharibu namkuchoma kijiwe kwa moto sasa kibanda kinawaka[emoji91].Nyuzi kama hizi simba wanapenda sana lakin kiwango hola.Hata kama Yanga anaongoza moja ila namna mnavyoiona simba kama skyscreper kumbe pango tu la popo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui itakuaje baada ya mechi utabiri wako kubuma...[emoji23][emoji23][emoji23]Ona hizi picha... Sijui watakuwaje hawa baada ya mechiView attachment 1380849View attachment 1380850View attachment 1380851View attachment 1380852
Jr[emoji769]
Sawa daktariMoja bila bado dakika 45 lakini kumbuka
Jr[emoji769]
Sijui itakuaje baada ya mechi utabiri wako kubuma...[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app