We are all use weedπ
Kenzy vs Mshana πππ
Jibu zuri sana aseeKama utabiri wako unauamini 100% basi bet upate hela. Hatutaki porojo hapa. Mpira uwanjani, Matokeo dakika 90.
Kwa kitimu chako kibovu hiki?Yanga wanataka kuleta mazoea ya kijinga,wapigwe hata 5
Ndio nawashangaa hawa yanga,kiwango duni bado wanaamini wanaweza shinda. Simba sio mbaoGiza haliishindi Nuru!!