Utabiri wangu mechi za Simba na Yanga wiki hii

Utabiri wangu mechi za Simba na Yanga wiki hii

shuka chini

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2024
Posts
842
Reaction score
1,928
Kiukweli watanzania tumekuwa na hamu sana ya kuona timu zetu zinafanya vizuri sana kimataifa.

Lakini inatakiwa juhudi kubwa sana ya nje ya uwanja na ndani ya uwanja.Tena tunatakiwa tuwe na uwezo wa kushinda kuanzia goli mbili kwa sifuri.

Sasa utabili wangu mimi shuka chini ni huu Simba hapa Dar atapigwa mbili moja halafu yanga atashinda moja bila.

Tukutane jumapili baada ya mechi zote.
 
Wekeni akiba ya maneno...
Yajayo hayajulikani..

Ila
Simba Sc ndiyo chama langu.
Simba anakufa Jamaa wamekuja na mapipa yao km kawa kwenye pipa 1 wameweka uwanja wao wanachezea wapi na muda gani swali linarudi kwako

Na walipotua tu Dar vua kubwa likanyesha huku kwingine Jua linawaka wale wahenga wa Milima ya Upogoro wanasema Simba anazaa sasa anazaa watoto wangapi Mimi sijui
 
Haaaahaaa ukweli usemwe.
Kipigo kimenukia bado siku 1 tu wala sio mbali

Mmoja lazima abakie mmoja lazima aende Ila huyu anaepiga watu km Ngoma 4 Mtungi 5 Mtungi ndio probability imemlalia kwenda Mlango upo wazi kweupe ni yeye tu kumchapa Mamelodi bao za kutosha, hii haujawahi tokea
 
Hivi ndivyo matokea yatakavyokuwa:

Young Africans 5 : 1 Mamelodi Sundown

Kipindi cha kwanza itakuwa 1 : 1

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Young Africans.
 
Mimi mwenyewe simba ila ukweli usemwe kwa simba hii.ni hatari hamtoamini macho yenu.tutachezewa mpira wa hatari.
Mimi sijui matokeo kamili...ila najua kuwa ni lazima kushinda, kushindwa au sare.
 
Simba anakufa Jamaa wamekuja na mapipa yao km kawa kwenye pipa 1 wameweka uwanja wao wanachezea wapi na muda gani swali linarudi kwako

Na walipotua tu Dar vua kubwa likanyesha huku kwingine Jua linawaka wale wahenga wa Milima ya Upogoro wanasema Simba anazaa sasa anazaa watoto wangapi Mimi sijui
Mimi sijui matokeo...siyo mara ya kwanza Al Ahly kuja na mapipa TZ.
 
Back
Top Bottom