CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Ndo mara yako ya kwanza kuona wamekuja na mapipa??Simba anakufa Jamaa wamekuja na mapipa yao km kawa kwenye pipa 1 wameweka uwanja wao wanachezea wapi na muda gani swali linarudi kwako
Na walipotua tu Dar vua kubwa likanyesha huku kwingine Jua linawaka wale wahenga wa Milima ya Upogoro wanasema Simba anazaa sasa anazaa watoto wangapi Mimi sijui
Kwa hiyo kama tutafungwa!sina imani kama tutashinda,tutafungwa tu
Kwa Mkapa Hatoki Masandawanasina imani kama tutashinda,tutafungwa tu
Amini Mungu la sivyo,sina imani kama tutashinda,tutafungwa tu
Sio hizi umekuwa mpole-mkaliKwa hiyo kama tutafungwa!
Awamu hii wamekuja mpaka na magodoro yao na mashuka, nadhani na hotel ya kulala wameibeba kwenye mapipaNdo mara yako ya kwanza kuona wamekuja na mapipa??