Utabiri wangu wa mechi kati ya Chelsea dhidi Manchester United

Haraka yote ya nini . Kuna uzi wa hizo timu. Tunajua wapi tutakutana wapenzi wa hizo timu
 
Stamford bridge Man u hatoki akijitahidi apaki basi - aipeleke mechi Oltraford yaani atoe sare. Asilimia kubwa anatolewa Man u. Labda iwe bahati.
 
Ongea uhalisia , acha ushabiki !
 
Man Utd 2 - Chelsea 1.

Mata and Pogba - Costa.
 
Hii game watu wengi wanampa nafasi chelsea ila naona chelsea akifa bila watu kuamini
 
Man utd anakula 5 nyauuuuu (5 kwa bashite)iyo kesho
 
Mbona kila mtu anajua kama Mikhy anapeleka msiba leo London
 
man 2 chelsea1.....watakaofunga n....mata.....rushford...and costa...mm ni shabiki wa chelsea
 
man utd ana ratba ngumu kidg tofaut n chelsea ,apo nampa aslimia nyingi conte kuibuka mshindi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…