Utabiri wangu wa mechi kati ya Chelsea dhidi Manchester United

Rushford ni mgonjwa kwenye squad hayupo...
 
Mashabiki wa Arsenala wamekuja kwenye uzi wa Man u kujifariji kuwa man u atapigwa nyingi kama wao walivyopigwa
 
Habari mbaya kwetu kama straika wanne hawatokuwepo.
 
kila mtu anajua hata Shabik wote wa red devils wanajua leo lazima wakalie...
 
tukutane hapa jumatatu

Chelsea 1-3 Manchester United

Povu

Chelsea anakufa moja bila

Man Utd 2 - Chelsea 1.

Mata and Pogba - Costa.

Hii game watu wengi wanampa nafasi chelsea ila naona chelsea akifa bila watu kuamini

Mbona kila mtu anajua kama Mikhy anapeleka msiba leo London

man 2 chelsea1.....watakaofunga n....mata.....rushford...and costa...mm ni shabiki wa chelsea

Chelsea 0- man u 1


Hivi nyinyi ni Waganga W Kienyeji? Naona Utabiri Wenu Umewakwepa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…