Utabiri wangu: Yanga 3......0 medeana

huko njema mkuu
 
Mkuu Kama ulibet utakua umelamba bingo nono, yaani exactly .. kunywa juice hapo napita kulipia
 
Chukua maua yako utabiri wako umeenda sawia, kuna mtabiri mwenzako jana aliitabiria simba itapigwa 2 ; 0 ikawa kinyume akaaibika
 
Safi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…