Elections 2010 Utabiri wangu

Tatizo huyu ndugu Kaumza analeta utabiri wa Kienyeji na sio scientific
Chadema haiwezi kuishiwa pumzi kwa sababu Chadema imejengwa katika misingi thabiti inayopimika, inakubalika na inalenga kulipeleka Taifa letu masikini kwenye neema.

CCM wenyewe wameona ilani yao waliyokuwa wakiinadi kwenye uchaguzi haina kitu ndio maana mwezi mmoja tu baada ya uchaguzi wameanza kudandia sera za Chadema, na bado wataendelea kufanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…