NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Sijui Hawa jamaa(mashabiki wa Simba sc) huwa Wana Nini??
Ngoja tusubiri mpira mkali dhidi ya wydad Casablanca na Al ahly hii ni fainali ya pili ambapo mwanzo walitoka kwa mbili moja nyumbani kwa Al ahly.
Ngoja tusubiri mtanange huu (fainali ya mabingwa Africa)
Haya mashabiki wa Simba sc subirini Wydad ashinde mje kuandika nyuzi kuwa mlitolewa na timu ngumu.
Nawasilisha hoja.
Na ndio itakavyokuwaSijui Hawa jamaa(mashabiki wa Simba sc) huwa Wana Nini??
Ngoja tusubiri mpira mkali dhidi ya wydad Casablanca na Al ahly hii ni fainali ya pili ambapo mwanzo walitoka kwa mbili moja nyumbani kwa Al ahly.
Ngoja tusubiri mtanange huu (fainali ya mabingwa Africa)
Haya mashabiki wa Simba sc subirini Wydad ashinde mje kuandika nyuzi kuwa mlitolewa na timu ngumu.
Nawasilisha hoja.
Unabana pua Kama semaji la robo robo [emoji16]NYUZI ZA UTOPOLO ZA KITHENGE THANA
Na wangechukua kombe tusinge kunywa maji humu maana kwa kujisifia tu hamjambo.Wydad ndio bingwa mtetezi na yupo final ni timu bora na ngumu hata kama awajabeba ubingwa msimu huu. NALIA NGWENA unafeli wapi vitu vidogo hivi?
Kipindi hatujacheza nazo so mlikua mnasema hazifungiki kwao Sasa imekuaje Sasa mnasema kuwa zimeshuka daraja.Timu mlizocheza nazo nyingine zimeshuka daraja na nyingine kwenye ligi zipo nafasi ya kumi kwa hiyo nyie ndio mnajifariji
na siku mkikutana na Wydad au Ahly,ila acha tu mungu awaepushie mbali mtadhalilishwa.Na wangechukua kombe tusinge kunywa maji humu maana kwa kujisifia tu hamjambo.
Hawawezi kukutana na aly ahly wala Wydad . Wao klabu bingwa ni mechi mbili tu chali wanarudi shirikisho kwa vibonde wenzao ili wakajisifu kwamba wamefika fainali kumbe nikwa vibondena siku mkikutana na Wydad au Ahly,ila acha tu mungu awaepushie mbali mtadhalilishwa.