Kwa wasiojua mpira wanadhani wananchi wameshatoka kutokana na matokeo ya jana ya mwarabu na mazembe,
Sasa iko hivi matokeo ya kesho,Al hilal 1 Yanga 1,hivyo kundi litasomeka Al hilal points 11,Mc alger points 8,Yanga points 5 Mazembe points 2,mechi ya mwisho kwa mkapa Yanga 4 Mc Alger 0,Yanga hiyo robo fainali.