Utachagua kidonge kipi?

Utachagua kidonge kipi?

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Kuna Vidonge Viwili

Cha Blu na Chekundu

Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa

Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1 Taslimu

Unachagua kidonge kipi? Kwanini?

Karibuni wadau
 
N

Wewe je utachagua kipi?
 
Me nakwenda na blue
Sababu
Ata nikirudi utoto na ujuzi niliokuwa nao ,mazingira bado hayata support kuutumia, maana ujuzi nilionao unategemea watu nilionao sasa!.
Hivyo napita na 1B kiuzuri kabisa na kufanya ukamilisho wa sehemu niliokwama kisha kusonga mbele mbele yake.
 
Kuna Vidonge Viwili

Cha Blu na Chekundu

Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa

Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1 Taslimu

Unachagua kidonge kipi? Kwanini?

Karibuni wadau
Ntachagua cha blue bilion 1 inatosha kuendesha maisha yangu

Hii kurudi utotoni unaweza kutana na mabalaa zaid kulko ata haya ya sasa
 
Kuna Vidonge Viwili

Cha Blu na Chekundu

Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa

Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1 Taslimu

Unachagua kidonge kipi? Kwanini?

Karibuni wadau
Nachukua red pill yani mpaka narudi kuwa na umri huu nitakuwa bilionea wa kutupwa
 
Back
Top Bottom