KichwaBOGA
Member
- Jun 28, 2020
- 15
- 33
Jamaa mmoja kenda ukweni yeye na mke na watoto, njiani wakanunua mazagazaga ya kumpa mama mkwe, wakaenda wewe siku nzima coz ukweni ilikuwa mbali ndo ivo kwa uchovu wakafika walipokelewa vizuri kwa furaha na hadithi yangu imeishia apo