Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 33,771 Reaction score 41,027 Jun 23, 2010 #1 Siwezi kusema mengi.. msikiliza na kumfuatilia mtangazaji!! Asante Da'Subi for this one! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
daughter JF-Expert Member Joined Jun 22, 2009 Posts 1,275 Reaction score 748 Jun 23, 2010 #2 hahahaa hiyo kali....
Asprin JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,223 Reaction score 96,083 Jun 23, 2010 #3 Nimecheka kidogo sana lakini nasubiri kupaliwa sasa
W wakumbuli Senior Member Joined Aug 20, 2009 Posts 147 Reaction score 5 Jun 23, 2010 #4 Kicheko tu,kupaliwa nonono
Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 33,771 Reaction score 41,027 Jun 23, 2010 Thread starter #5 well inategemea kama unakula au unameza mate..
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,656 Jun 23, 2010 #6 Ahahaha! Kilichonichekesha zaidi ni jinsi huyo jamaa alivyokuwa anasimulia kiasi kwamba hadi akazidiwa na kicheko.
Ahahaha! Kilichonichekesha zaidi ni jinsi huyo jamaa alivyokuwa anasimulia kiasi kwamba hadi akazidiwa na kicheko.
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Jun 23, 2010 #7 Mi nimepaliwa tu, wala sijacheka
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Jun 23, 2010 #8 Nimecheka lakini sijapaliwa!
Askofu JF-Expert Member Joined Feb 14, 2009 Posts 1,664 Reaction score 87 Jun 23, 2010 #9 he he he heeeeee... khoh khoh khoh... Nice one
Masika JF-Expert Member Joined Sep 18, 2009 Posts 723 Reaction score 30 Jun 23, 2010 #10 Tamu kimtindo
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,126 Jun 23, 2010 #11 mi mbona hata sicheki?
Rubi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2009 Posts 1,615 Reaction score 331 Jun 24, 2010 #12 imenifurahisha
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,039 Reaction score 7,465 Jun 24, 2010 #13 Mzee Mwanakijiji said: well inategemea kama unakula au unameza mate.. Click to expand... Huyu Xpin atakuwa alikuwa hayupo kaunta!! angepaliwa tu na valuu! Mi nimetokwa na machozi tu!! kicheko miiingiii!
Mzee Mwanakijiji said: well inategemea kama unakula au unameza mate.. Click to expand... Huyu Xpin atakuwa alikuwa hayupo kaunta!! angepaliwa tu na valuu! Mi nimetokwa na machozi tu!! kicheko miiingiii!
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,478 Reaction score 3,659 Jun 25, 2010 #14 angalieni msiocheka yawezekana bandama zenu ni ndogo sana
BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,474 Reaction score 4,039 Jun 25, 2010 #15 Nimecheka anavyocheka huyo mtangazaji..
roselyne1 JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 1,365 Reaction score 95 Jun 25, 2010 #16 humu ndani mmepinda , eti nimepaliwa ila sijacheka...hahahha...
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Jun 25, 2010 #17 BelindaJacob said: Nimecheka anavyocheka huyo mtangazaji.. Click to expand... Kumbe hata wewe lol! Mwalimu anajifanya anajua hesabu Mwanafunzi anamwambia wewe humjui Baba yangu. Yeye kukopa harusi kulipa ni Matanga lol! anaweza akajichimbia hata chini ya uvungu kumkimbia mdeni wake.
BelindaJacob said: Nimecheka anavyocheka huyo mtangazaji.. Click to expand... Kumbe hata wewe lol! Mwalimu anajifanya anajua hesabu Mwanafunzi anamwambia wewe humjui Baba yangu. Yeye kukopa harusi kulipa ni Matanga lol! anaweza akajichimbia hata chini ya uvungu kumkimbia mdeni wake.
Sikonge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,584 Reaction score 6,136 Jun 25, 2010 #18 Mangi mtoto anachelewa darasani. Mwalimu akamdaka na kumuuliza kisa cha kuchelewa... Mangi Mtoto: "ahh, unajua Mwalimu, kuna mama mmoja aliangusha pesa." Mwalimu: "aaha, kwa hiyo ukaamua kumsaidia kuziokota?" Mangi mtoto: ".....ahhhhhh, hapana. Nilisimama juu ya noti ya Elfu kumi...."
Mangi mtoto anachelewa darasani. Mwalimu akamdaka na kumuuliza kisa cha kuchelewa... Mangi Mtoto: "ahh, unajua Mwalimu, kuna mama mmoja aliangusha pesa." Mwalimu: "aaha, kwa hiyo ukaamua kumsaidia kuziokota?" Mangi mtoto: ".....ahhhhhh, hapana. Nilisimama juu ya noti ya Elfu kumi...."
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,803 Reaction score 1,601 Jun 26, 2010 #19 haha hahha lool asante kwa burudani:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1: