kuna kitu anauliza hapa hamjamuelewa vizuri. swali ni kwa unapooa, unaoa nusu ya juu ya mwili au nusu ya chini? au unapofanya mapenzi, unafanya na nusu ya juu ya mwili au nusu ya chini?
back to your question. mtu haoi nusu mwili bali mwili mzima, akili, roho, hisia nk, yaani mtu huoa mtu mzima mzima akiwa kamili na jumlajumla, huwezi kupenda derivative ya mtu yaani hakuna differentiation wala hakuna ceteris paribus assumption kwenye marriage ndugu yangu! ndoa na mapenzi lazima yahusshe mwili na akili kwa ukamilifu wake wote. unapaswa kumchagua uliyemuoa kwanza, yule uliyemchumbia, mkakubaliana na mioyo yenu ikapendana na kuridhiana. i know kuna watu wanpenda huko chini tu, hao ndio watakuwa na mtihani mgumu zaid