Utafanya nini endapo kazini wanakuhisi wewe ni TISS?

Utafanya nini endapo kazini wanakuhisi wewe ni TISS?

Acha kujimwambafy na viji kaunda suti uchwara na simu zisizo isha kila wakati ka simu kapo sikioni tena ukiongelea vichochoroni kifupi ishi maisha yako halisi na sio ya kuigiza
Chief mimi nipo normal sana 🙄
 
Niliwahi kuhisiwa usalama miaka hiyo

Nimemaliza chuo nikapanga chumba mitaa fulani

Mungu mwema nikawahi kupata ajira

Sasa mzee asubuhi sipo narudi jioni au usiku sina story na vijana wa mtaa zaidi ya salamu tu

Sasa akaja mwanangu kutoka mkoa akawa anashinda nao sana vijana wa mtaa ndo akasikia jamaa mmoja akisema yule jamaa ni usalama bila kujua kama kuna mwanangu pale akaja kunichanaa

Nikasema kumbe nikazidisha kutoonekana zaidi weekend mm niko ndani na epl nikitoka huyooo sina muda mtaani
 
Maisha yako yanatengeneza 'suspiciousness' play it low buddy, we don 't belong here, you might face a fatal catastrophe than being believed to be a special agent from TISS
It has deeply affected me psychologically
 
Acha kujimwambafy na viji kaunda suti uchwara na simu zisizo isha kila wakati ka simu kapo sikioni tena ukiongelea vichochoroni kifupi ishi maisha yako halisi na sio ya kuigiza.
Kaunda suti sio za TISS tu mfano CFR ni lazima uvae hizo au suti hasa presentation acha ushamba
 
Mjibu hoja muanzisha mada. Acha ushamba wa kurukia comments ambazo kwa hakika sijasema kuwa kaunda suti ni za TISS kwasababu hata harusini zavaliwa.
Wewe ndo mshamba et kaunda suti ucharwa unajua hukui kima wewe
 
Mjibu hoja muanzisha mada. Acha ushamba wa kurukia comments ambazo kwa hakika sijasema kuwa kaunda suti ni za TISS kwasababu hata harusini zavaliwa.
Hoja ndo kumtukana na uchwara wakooooooooooo kaunda suti ni vazi acha imani haba na simu nyingi ata wafanya biashara wanapigiwa mara milioni
 
Fanya soo lolote polisi waje kukuchukua hapo ofisini kwenu wamekupiga Tanganyika jeki, then ukae ndani kama wiki hivi. ukitoka kila mtu atajua kumbe huna lolote.
 
Back
Top Bottom