Mwisho wa siku watakuja kumpiga kibabai bure.Acha kujimwambafy na viji kaunda suti uchwara na simu zisizo isha kila wakati ka simu kapo sikioni tena ukiongelea vichochoroni kifupi ishi maisha yako halisi na sio ya kuigiza.
Kaunda suti sio za TISS tu mfano CFR ni lazima uvae hizo au suti hasa presentation acha ushambaAcha kujimwambafy na viji kaunda suti uchwara na simu zisizo isha kila wakati ka simu kapo sikioni tena ukiongelea vichochoroni kifupi ishi maisha yako halisi na sio ya kuigiza.
Mjibu hoja muanzisha mada. Acha ushamba wa kurukia comments ambazo kwa hakika sijasema kuwa kaunda suti ni za TISS kwasababu hata harusini zavaliwa.kaunda suti sio za TISS tu mfano CFR ni lazima uvae hizo au suti hasa presentation acha ushamba
Nzuri hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiSiku moja watoe out lunch wachane live kuwa wewe sio TISS kwahiyo waache kukuzushi
Wewe ndo mshamba et kaunda suti ucharwa unajua hukui kima weweMjibu hoja muanzisha mada. Acha ushamba wa kurukia comments ambazo kwa hakika sijasema kuwa kaunda suti ni za TISS kwasababu hata harusini zavaliwa.
Hoja ndo kumtukana na uchwara wakooooooooooo kaunda suti ni vazi acha imani haba na simu nyingi ata wafanya biashara wanapigiwa mara milioniMjibu hoja muanzisha mada. Acha ushamba wa kurukia comments ambazo kwa hakika sijasema kuwa kaunda suti ni za TISS kwasababu hata harusini zavaliwa.
Kama walivyomuhisi Bushbaby alishawahi kuvuta BANGIKwanini wanakuhisi hivyo?
Fuata huu ushauriAcha kujimwambafy na viji kaunda suti uchwara na simu zisizo isha kila wakati ka simu kapo sikioni tena ukiongelea vichochoroni kifupi ishi maisha yako halisi na sio ya kuigiza.