Utafanya nini endapo kazini wanakuhisi wewe ni TISS?

Umbeke
 
Kwan n kosa kujilikana kuw wew n afisa usalama??
 
Du kama

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kuna tatizo gani kuwa TISS?
 
Tatizo mnaangalia sana movie za hollwood.

Magonjwa ya akili Tz ni mengi sana

Anyway hizi lawama zote kwa John.
 
Je, utafanya nini endapo sehemu unayofanya kazi jamii inakuhisi wewe ni TISS na huku hata mshahara wa TISS huujui, na hakuna evidence -- kila mtu anasema amesikia kwa watu?
Kwani huko mitaani mnafahamu nini kuhusu tisi mbona sie wakawaida tu.
 
Je, utafanya nini endapo sehemu unayofanya kazi jamii inakuhisi wewe ni TISS na huku hata mshahara wa TISS huujui, na hakuna evidence -- kila mtu anasema amesikia kwa watu?
Endelea na shughuli zako tu. Nilisoma chuo (17 years ago) nikahisiwa kuwa ni TISS, binafsi sikuwa najua kuwa watu wananiwazia hivo, siku ya graduation rafiki yangu tulikuwa campany moja akanigusia hilo jambo. Ila maisha yangu chuoni yalikuwa ni ya shida kidogo, sikuwa napata ushirikiano kwa watu wengi, ila wanawake ndio kidogo nilikuwa na o karibu. Ila yule rafiki yangu alie niambia hilo kumbe ndio alikuwa TISS halisi na saivi ni hakimu ila ni TISS.
 
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…