Yaan ulale na nyoka na nge chumba kimoja alafu ujichekeshe una akili wewe? Fanya usafi afya yako ni muhimu zaidi kuliko zao haijarishi watakuchukuliaje utakae ugua ni wewe sio waoKama chumba ulichotengewa upumzike ugenini kina kunguni, mende, panya nk usifanye usafi mkubwa ikiwemo kuweka dawa za kuua wadudu pia usiwaambie wenyeji kuwa hulali vizuri kutokana na adha hiyo, pasifie tu kuwa pako vizuri, itakubidi uvumilie mpaka pale utakapomaliza ugeni.