Utafanya nini ukigundua cheeck wako ana cheat,..?

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Posts
2,475
Reaction score
745
Chripn.Burn,Field,Nguli na wengine tuliomo humu jamvini.
Ikatoke siku moja iso jina,ukagundua kwamba mpenzi wako ambaye mnapenda sana ana malavi davi(wanamegana/anamegwa) na mwanamke mwenzake uta react sawa na vile itakavyo kuwa anamegwa na kidume mwingine?

Naomba kuwasilisha hoja?
 
..Simpo!! Unamuongezea na matango!! lazima utulize mpira!!!
 

Unammega na huyo mwenzake (msagaji)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…