Utafanyaje ikikutokea hii

R Mbuna

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
2,283
Reaction score
5,371
Pale unapomlipia mwanao karo ya shule ya mwaka kwa M-PESA ya Tsh 15,000,000 na kuletewa majibu haya
Ahsante kwa kujiunga na kifurushi cha voda-voda umepata dakika 350,000 /sms 750,000 na GB 400,000 TUMIA NDANI YA MASAA 24 TU
kwa OFA zaidi endelea kutumia voda - VODACOM KAZI NI KWAKO

Kama nakuona vile mtendewa....
 
Hamna kifurushi cha 15m labda kwenye hiyo post uongene neno ASSUMPION
 
Imewahi kunitokea hii badala ya kununua luku nikanunua airtime ya 40, 000/=.
Kuwapigia voda wakasema hakirudi kitu.
Inatubidi tutulize akili wakati wa kuingia m-pesa.
 
Imewahi kunitokea hii badala ya kununua luku nikanunua airtime ya 40, 000/=.
Kuwapigia voda wakasema hakirudi kitu.
Inatubidi tutulize akili wakati wa kuingia m-pesa.
Mie ilinitokea Airtel
kujiunga kifurushi cha mwezi mitandao yote
Wao wakaunga Airtel to Airtel...
Aaargh!! nilikomaa nao wakarekebisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…