Utafanyaje kama ni wewe

Man the one

Senior Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
155
Reaction score
96
MADA MEZANI!!
Hivi utafanyaje pale unapokuwa umefika ukweni usiku na haja kubwa ikakubana na hukuwa unajua choo kilipo, ukatoka nje na kujisaidia kwenye majani kumbe ni mboga asubuhi ukasikia mama mkwe anasema kuna mjinga kajisaidia kwenye mboga na kaangusha pochi yake hapohapo haa! Vile unajisachi pochi hamna na kulikuwa na passport,vitambulisho, kadi ya benki, pesa zaidi ya laki 2 na nusu, funguo za nyumba yako, JE,,UTAFANYAJE??????? Nipe jibu:
 
Nawambia tu kuwa ni Mimi kwani hata ukikaa kimya lazima ujulikane,ukweni kitu gani bhana
 
Siwezi kufanya ujinga huo...yani ninye pirini...wakati choo kipo...hadithi hii inakusadifu mtoa mada kuwa wewe ni mtu wa kijijini tena haswa
 
Daaaah huo ni upuuzi.....kwa nn nisimwite mke wangu nikamueleza shida yangu ya chooni akanisaidia kistaarabu kabisa........hata kama hapakua na maji najua atafanya kila namna mme wake nimalize haja zangu salama
 
Siwezi kufanya ujinga huo...yani ninye pirini...wakati choo kipo...hadithi hii inakusadifu mtoa mada kuwa wewe ni mtu wa kijijini tena haswa
Umebanwa na haja unaiskia kabisa inataka kutoka,we acha mkuu
 
Hapo Mimi ntaongea na wife tu,yeye atamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…