Utafanyaje kwenye situation kama hii?

Pretty

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2009
Posts
2,577
Reaction score
565
-----Ni mdada unatarajia kufunga pingu za maisha hivi karibuni. Wakati mpo kwenye maandalizi ya harusi mnaanza kutambulishana kwa ndugu.
Kumbe huko nyuma kabla ya kukutana na huyu mume mtarajiwa, mdogo wake alishawahi kukutongoza na ukamkatalia, na kipindi hicho wala hukujua kama hawa watu ni ndugu.

Sasa mdogo mtu kashafahamu kwamba kaka yake anaenda kuoa msichana ambaye aliyemtolea nje .
Tatizo linakuja hapa, mdogo mtu roho inamuuma kwa nini yeye alikataliwa halafu kaka yake amekubaliwa. Huyu mdogo mtu anamfanyia visa shemeji yake mtarajiwa, kaka mtu anashindwa kuelewa kwa nini mdogo wake ana bifu na shem wake?
Je huyu msichana amwambie ukweli mumewe mtarajiwa kwamba mdogo wako aliwahi kumtongoza na akamkatalia ndio maana ana bifu naye? Kama ungekuwa wewe ungefanyaje kwenye situation like this?
 
Kwa kuwa hayo yalitokea uko nyuma kabla ya uchumba na kufahamiana huku kwa sasa,njia sahihi ni binti kusema ukweli kwa mume mtarajiwa ili ajue mapemaaaa.
 
nausema ukweli haraka sana....halafu namtuma aseme na ndugu yake aache visa
 
Why get married in the first place?
So 70s!
But,for the sake of answering the question,I'll pretend I am that hopeless in which case,I will let the kaka know.I mean,why not?He can't assume sijawahi kutongozwa before!
 
I dont see any problem here at all. Just tell the brother kwamba alinitogoza, straight forward, unless they didi it ndo akamwaga hapo ndo mtihani ulipo, and thats the way i see it (am sorry though).
 
it is only the truth which shall set her free!

udhaifu mdogo tu kwa hawa dada zetu ni kwamba SIO WA KWELI!
 
 
Mini sioni shida yoyote kwenye hii situation, just tell the guy the truth, Unless there is discontinuity in this story, or something you are not saying.
 
 
 
 
Amwambie tu ukweli,anaficha nini,unless otherwise kama kuna ambacho kiliwahi kuendelea kati yake na huyo mdogo mtu ndo maana anakua mwoga,lakini kama hakuna kilichoendelea na ana uhakika kuwa hakufanya nae chochote amweleze tu maana atakapoficha ikatokea siku moja huyo jamaa akaja kuelezwa na mdogo wake, haoni kwamba hapo atakua ametengeneza shida nyingine? awe tu wazi kwa jamaa as long wana mpango wa kuja kuishi wote.
 
unaogopa nini kusema ukweli,bifu gani litatokea kaka mtu akijua,au alishawahi kumegana na mdogo nini?
 
Teh,teh,teh,ulimwengu bwana mambo yanajirudia tuu,mi imeshawahi mtokea ndugu yangu,lakini ilibidi akubali tuu kaka yetu aoe na sasa imebaki mtu na shemejie tuu na heshima kuu!!Ila sijui nishauri nini kuhusu wewe!!
 
kama hata hicho unamficha ni vingapi unavyomficha ambavyo ni muhimu ajue?
ukweli ni mzuri sana, baadae akija hisi kuwa mdog wake alishakutaka wewe kumhakikishia hukumpa itakuwa ngum sana sabb tangia mwanzo ulifichaficha.
Jitahidi kuwa muwazi sabab ukweli utakuweka huru.
 
mbona ni cmple jamani au mie nimekubuhu kwenye matatizo...lol, mie nilijua walitembea nae kama hakutembea nae anasubiri nini kumwambia huyo mchumbake ukweli? kwanza mie nadhani ningemtoa kiherehere huyo shemeji mie mwenyewe tu ningemtosha kabla cjafikisha kwa mchumba wangu.
 
Teh,teh,teh,ulimwengu bwana mambo yanajirudia tuu,mi imeshawahi mtokea ndugu yangu,lakini ilibidi akubali tuu kaka yetu aoe na sasa imebaki mtu na shemejie tuu na heshima kuu!!Ila sijui nishauri nini kuhusu wewe!!


jamani mambo mazito eeh, kwani kuna kitu gani kinachofanya mpaka mtu atake kugoma mwenzie acoe kisa ndugu kumtongoza mchumba? alitongoza na hakufanikiwa, shida ipo wapi?
 
Mi nashauri wakati wote watatu wakiwepo yaani mchumba mtu,kaka mtu na mdogo mtu ndo yaongelewe kwa kina kwa kuwa akiyasema kiuficho basi huyu kaka mtu anaweza kuogopa kuwa ipo siku atampa kabisa kwa hiyo inabidi avunje uikimya mbele yake pia ili kila mmoja awe anajua.

Kumbukeni anaenda kufunga pingu za maisha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…