Kuna weza kuwa na mambo mengi ilaHivi huwa mnafanyaje ukigundua mume anatongoza mdogo wako na mdogo wako akakupa ushahidi wa hilo jambo
Mumewe anamuiga Yakubu kikobazi, Yakobo (Jacob) kigalatia na Kiyahudi.Ngoja Wazinzi wa kiume waje kushadadia hili jambo kuwa ni sawa haina shida. Lol
Kawaida tu...nyie mnatoa tendo la ndoa kwa masharti,sasa mtu kwanini asiruke na mdogo wako!Hivi huwa mnafanyaje ukigundua mume anatongoza mdogo wako na mdogo wako akakupa ushahidi wa hilo jambo
Vipi mwanamke akiolewa na ndugu wawili wa damu??Mumewe anamuiga Yakubu kikobazi, Yakobo (Jacob) kigalatia na Kiyahudi.
Jamaa alioa dada wawili wa baba na mama mmoja. Ilikubalika Hadi mbele za Mungu. Akawabariki na kuunda makabila 12 ya Israel.
Unatakiwa kuwa wise na muombe Mungu akupe hekma katika kutatua changamoto kama hiyo, sababu unaweza ukajikuta unaharibu ndoa yako ama unagombana na mdogo wako na kufanya uadui kwenye familia yenuHivi huwa mnafanyaje ukigundua mume anatongoza mdogo wako na mdogo wako akakupa ushahidi wa hilo jambo
Hiyo hata sayansi ya elimu dunia na asili vinakataa.Vipi mwanamke akiolewa na ndugu wawili wa damu??
Unafiki huu.Hiyo hata sayansi ya elimu dunia na asili vinakataa.
Akipata mimba atajulikana baba wa mtoto nani?
Kila mume wake akitaka mtoto mwaka huo atabeba mimba mbili kwa wakati mmoja? Mume mmoja anaweza kuwapa mimba wake zake 5 kwa siku moja bila tatizo.
Ataweza kujaamiana na waume zake wawili kwa siku moja bila kuutesa uke wake? Uke ukabaki na ubora uleule kwa wote?
Najua hoja zangu umezikubali deep down your heart Ila hapa unavunga..ππUnafiki huu.
Nakubaliana na wewe kabisa kwenye hili,mdogo wake ameonyesha njia ya kuingilika.kuna namna mdogo wako anavyojiweka/jirahisisha kwa huyo mumeo,
Uongooo!! πππππNajua hoja zangu umezikubali deep down your heart Ila hapa unavunga..ππ
ππππNamzabua kofi na namwambia akirudia nazinyofoa kendre zake..!!
Nyie ndio wale mkiwa wadogo mkipewa mifugo mkachunge mnapita nayo..!!Chagua namna bora ya kuhandle hilo jambo..... kuna namna mdogo wako anavyojiweka/jirahisisha kwa huyo mumeo, sisi wanaume ukiileta au ukikaa kimazoea hatuiachi ! Action ya kwanza muondoe mdogo wako hapo home ..... ! Ukicheza vibaya hii ngoma utagombana na mdogo wako na mume utampoteza !"
Ziada... ongeza usafi binafsi, kujipenda kuanzia uvaaji na caring kwa mumeo
Kujizuia kupo na inawezekana, ila mdogo mtu inawezekana kuna vimazoea kaleta mpaka mume wake kaona huyu mbona anaingilika ? Kuna kitu sio bureNyie ndio wale mkiwa wadogo mkipewa mifugo mkachunge mnapita nayo..!!
Kwahiyo wewe huwezi kujizuia? Ni zoa zoa?
Wala sio kujirahisisha ni tamaa za wanaume na kutaka kila mwanamke kumuonyesha kendre zake..!!Kujizuia kupo na inawezekana, ila mdogo mtu inawezekana kuna vimazoea kaleta mpaka mume wake kaona huyu mbona anaingilika ? Kuna kitu sio bure
Hapa umeuwa.πtayari tezi dume lake linamuwasha..!!