jino kwa jino
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 794
- 191
wanajf ikitokea mmeoana then ukagundua mwenzio ni mshirikina/mchawi utafanyaje? na anao siku nyingi ila hukujua baada ya kupata habari ukamuuliza akakuambia ni kweli yeye ni mchawi na hawezi kuacha na wewe unampenda ila hupendi uchawi!
Wewe umemjuaje kama nawewe si walewale
wanajf ikitokea mmeoana then ukagundua mwenzio ni mshirikina/mchawi utafanyaje? na anao siku nyingi ila hukujua baada ya kupata habari ukamuuliza akakuambia ni kweli yeye ni mchawi na hawezi kuacha na wewe unampenda ila hupendi uchawi!
Kama ndoa ilifungwa kwa misingi ya dini ya kikristo huwezi kumuacha, huo mzigo ni wako na kwa ushauri tu unapaswa umuombee Mungu ampe macho ya rohoni ili aweze kujionea uchafu wake. Bila shaka ataumia akigundua kuwa uchawi hauna thamani aliyoina na hivyo ataacha. Huna haja ya kumpiga, kumuacha wala kumburuza kwenda kokote! Maombi yatafanya kazi popote atakapokuwa.
Inaelekea unajua kitu kikubwa, tunaomba utupe stori yote ili tukupe ushauri utakaokufaa. ilikuwaje mkuu?
Wewe umemjuaje kama nawewe si walewale
kama ni mwenzi wako utajua tu usiku humuoni anarudi majogoo na mavazi ya kazi
ndoa ya kikristo, ndoa ya kikristo. Toa maandiko yanayofanya ndoa ya kikristo isivunjike. Huwezi ukageuza dunia kuwa jehanamu ya mateso kwa mwenzio kwa sababu tu eti umefunga ndoa ya kikristo, Yesu mwenyewe aliyafukuza na kuyakemea mapepo, sasa wewe unashauri mtu aendelee kuyakumbatia na kumlisha mchawi simply because ni ndoa ya kikristo? Ni Kristo gani huyo unayemzungumzia hapa?
Mmmhh hii kali unamuonaje na mavazi ya kazi kama wewe si mwenzake??? I dauti hapa
DUh!hapo inabidi ujiunge naye ktk uchawi,else inabidi ujipange kuhama mji,kwani kuna swala la watoto na urithi wa huo uchawi,uchawi huwa unapasiwa from mother to daughter,na inasemakana wanawake ndio sehemu kubwa ya wachawi ,and thats why mchawi kwa kiingereza ni Witch ikimaaanisha mwanamke mchawi.
:eyeroll1: all in all pole san