Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

Me nikikuta hivo ntavamia vile vitu ambavo sijawahi pata/kula au kuvitumia kwahiyo nahakikisha nakula kila aina ya mivyakula naendesha migari ya hatari mara nibadili nguo kila sekunde moja mara niende bank kuu kwenye sanduku la kuhifadhia hela ili nipige selfie na kila aina ya simu usisahau nikitoka hapo nakamata gari kaliiii natembelea mahoteli ya nyota 5 nikale makuku mapizza na kama ntafanya yote hayo wenyewe bado hawajarudi basi naendelea tena kesho wasiporudi basi mwendo ule ule yani hapo mpaka magogoni natia timu kama toi tu kesho kama hawajarudi naendelea tena yaani nakua kama nimejiunga na HALICHACHI

form1
 
Navua nguo natembea uchi wa Mnyama Kwa Mara ya kwanza hadharani
 
Nitakuwa na hofu kuu....
Nitajua kumbe nilikuwa nawahitaji watu kuliko vitu...mana vitu vyote vitakuwepo lkn havina faida.
Ntafanya kazi gani na kwa ajili ya nani?
Nitaendesha gari kwenda wapi na kufanya nn?
Nitatamani kitu kimoja tu... NIFE
 
Huu mfano wako mkuu umenikumbusha movie moja inatwaTHE LEGEND ya will smith... alikua peke ake duniani...alikua yeye na mbwa wake...inshort jamaa kama aliwehuka...inshort ikintokea mimi..ntaishi kama yeye tu
 
aaa simple sana mimi ndo ntakuwa mmliki halali wa dunia na tajiri ya kwanza dunian.sijui bill gtes tupa kule
 
Ntaingia supermarket na kubeba kila nnachohitaji!!!
Yaani kila nnachoweza beba, alafu naenda kwenye jumba moja lakifahari ntakaloliona na kukaa humo...

[HASHTAG]#lastMANonEARTH[/HASHTAG]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nitachofanya ni kufanya self binary fissions, nitegeneze uzao wangu alone
 
NAZAMA KWENYE ULE UZI WA" UKICOMMENT UNAPATA LIKES "ALAFU NAANDIKA CHOCHOTE LAZIMA WATAKUWEPO 2, HAKUNA NAMNA
 


Nikikuta hivyo...kwanza naanza kushukuru. Nakula, then nazuga mtaani kuzunguka kila sehemu huku nikiimba kwa sauti kubwa ili kama kuna watu wamejificha watoke waliko tujikusanye na kufanya yafuatayo:
Naanzisha taifa jipya mimi nikiwa rais. Tunakwenda benki na kuchukua hel zote zilizopo humo, kisha nazileta nyumbani kwangu. Nakwenda hospitali kuangalia kuna dawa gani zilizobaki na kuzitunza for future use. Tunavamia super market zote na kuchukua vyakula vilivyomo. Narithi wanawake wote waliobaki na kukataza wanaue waliobaki kuoa ili wawe wananisikiliza mimi tu.
 

si uchizi huo sasa
 
Umenikumbusha muvi moja...inaitwa I am legend...ya will smith.alijikuta yuko mwenyewe tu..na mbwa wake..
 
Nitahakikisha nampata "MISS NATAFUTA" kwanza ili twende zetu EDENI
 
Maswali ya kufikilika magumu sana kuyajibu
Inakuwaje yaani ujikute uko peke yako dunia yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…