Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
- Thread starter
-
- #21
Hata ikitokea uko peke yako dunia nzima si rahisi kufahamu kwa jinsi dunia ilivyo kubwa
Haiwezekani kabisa elewa hivyo hata kama ni MFANO
Utaenda na nini sasa wakati uko peke yakoNitaenda Chattle kwanza kuhakikisha na Bwana yule hayupo au la!!
Watakuwa wameenda wapiii wote sasaaukishaamka na usiwakute
Nitawaomba wanipatie demu mmoja.
Watakuwa wameenda wapiii wote sasaa
We kwan unataka nifanyeje sasa nikapge story na ng'ombe ausasa we jamaa utalala maisha yako yote?
Nitaenda Chattle kwanza kuhakikisha na Bwana yule hayupo au la!!
We kwan unataka nifanyeje sasa nikapge story na ng'ombe au
Si nimekwambia narudi kulala aundo utafanyaje sasa?
Ntafurahi kweli maana binaadamu wanavurugu kuliko viumbe wote
Si nimekwambia narudi kulala au
Sintaamin sabu huenda ni bara langu.... Huenda mabara mingine kunawatu
Hata kama...Never on earth hamna hiyo kitu..labda uende sayari nyingine peke yako...sio hapa DunianiweweNI MUNGU MPAKA ISIWEZEKANE?