hahahahaaaa.... imemkuta jamaa yangu mwaka mpya.... alikuwa mbogo si mchezo.... mie huku nashika mbavu kwa kicheko... hofu mkewe asipige simu kwa wati huo ilishatimu saa tano nyt...!!! alichimba biti mabaa medi hadi mwizi wake na simu zikapatikana!!!ndo ukome
umelipia STAREHE YAKO.
akuna cha ufanyeje kuwa mpole na ujirekebshe tabia na si ufanyeje juu ya mdada kukushikisha adabu