R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Feb 11, 2021 #21 Kenya wameamua hadi kutoa digrii ya uchawi kuna uzi niliweka wakaufuta
Zero Hours JF-Expert Member Joined Apr 1, 2011 Posts 12,942 Reaction score 18,669 Feb 11, 2021 #22 Tanzania itakuwa 80%. Ukienda kwenye makanisa ya warokole ndyo wanejazana huu ujinga. Yani mtu ukiumwa hata kichwa wanawaaminisha waumini ni shetani au nguvu ya ushirikina
Tanzania itakuwa 80%. Ukienda kwenye makanisa ya warokole ndyo wanejazana huu ujinga. Yani mtu ukiumwa hata kichwa wanawaaminisha waumini ni shetani au nguvu ya ushirikina