Utafiti 1990: Watanzania ni wavivu

Utafiti 1990: Watanzania ni wavivu

MSHINO

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,069
Reaction score
713
Posted on January 1, 1990 by editor

Tanzanian workers are lazy and unproductive says Tanzania’s National Productivity Council (NPC) quoted in ‘Business News’ on September 29th 1989. The NPC Executive Secretary, Mr Nikubuka Shimwela attributes the trend to a lack of a productive culture in the nation. “People are not serious with work” he said.

According to the Council the nation’s productivity has been falling since 1980 with adverse effects on the national economy. In financial institutions productivity has been declining at an average rate of 3.3% In the manufacturing sector at 6.2%, in the mining sector at 4% and in public administration at 5.5% In cross section interviews on productivity many interviewees have charged that the most unproductive sector is the public administration sector. Civil servants report late for work, one person charged. Some leave their work well before closing time while most spend a considerable amount of time in dubious private ventures during working hours.

NO SAYS MR. KASWAGA

Responding in the Mailbag column of ‘Business News’ a Mr Ben Kaswaga wondered what had happened to workers in recent years. Had the generation of early post-independence workers disappeared? The answer was no he wrote. Many of those Tanzanians were still alive and well. But something or other had happened in their minds.

‘How much productivity can be expected of a Tanzanian who gets up at 5.30 in the morning without even a crumb of boiled cassava for breakfast to make two bus connections at 30 shillings each so as to be in time for work? Can this hungry worker produce much when all he has for lunch is a couple of roasted sweet potatoes to be washed down the throat with, perhaps, one soda because he can’t afford anything better? Can this worker be productive when, at 2.30 pm – tired, underfed and undernourished – he has to make another two bus connections to get back home and arrive there, maybe two hours later ….

The Tanzanian is lazy? True, probably, but that is mainly because he does not eat enough. He does not eat enough because he is not paid enough (or sometimes not at all) because there is low productivity. But there cannot be higher productivity from a demoralised, tired and hungry producer
 
Chadema kutwa makongamano na kuhudhuria kesi ya Mbowe kazi watafanya saa ngapi?

Huo utafiti ni kweli kabisa
Mkuu umesoma kilichoandikwa ukaelewa? Au ni mvivu wa kusoma?

Taarifa inazungumzia uvivu wa watanzania, unaongelea chadema, CCM ni warundi?
 
Mleta hoja, unasema jambo ambalo linafikirisha sana na facts hazidanganyi. Naomba tukumbuke wakati mmoja Rais Mkapa akiwa madarakani alinukuliwa akisema, Watanzania wengi ni wavivu wa kufikiri.

Bila shaka kama kuna uvivu wa kufikiri sio ajabu kukawa na uvivu wa kutenda.

Sasa tuje kwenye basic facts, kwanini nchi hii mpaka leo tuna upungufu wa mafuta ya kula wakati ardhi ambayo hatuilima kibiashara ni kubwa kuliko ardhi ambayo tumelima?

Tuna import mafuta ya kula toka Malaysia nchi ambayo ni theluthi ya size ya Tanzania. Inasadikika miaka ya '80; Malaysia walikuja Tz kuchukua mbegu za michikichi. Malaysia ni nchi ya pili kwa foregn earning tokana na mauzo ya mafuta ya mawese.

Malaysia, Mawese yanatoa zaidi ya products 15, sisi hapa watu wa Kigoma wanauza mawese ghafi Burundi, Rwanda then sio ajabu baada ya muda Rwanda waka-export mafuta ya kula Kigoma.

Tanzania tuna idadi kubwa ya mifugo ikiwamo ng'ombe (kwa Africa sisi ni wa pili) lakini hatuna viwanda vikubwa vya kuchakata na kuuza mazao ya nyama nje ya Tanzania. Bila shaka Tz ni shamba na Kenya wananunua ng'ombe kwetu then wao wana-exports products za nyama.

Tanzania tuna sehemu kubwa ya maji ya mito, bahari na maziwa, ilitegemewa tuwe exporters wa samaki baada ya kuzalisha vya kutosha kukidhi soko la ndani, utakuta kuna records BOT na wizara ya bishara tukiwa miongoni mwa importers wa samaki.

Labda kuna conspiracy

Nawaza tu, What if kuna Conspiacy dhidi ya Rais wetu na dhidi ya Uchumi wetu II…?

au soma ni hii.

Ukiweza kusoma nondo hizi na ukatafakari bila shaka utaelewa kuna pahala tunazembea kama nchi na bila shaka huo uzembe ndio uvivu wenyewe kuanzia kwenye fikra mpaka vitendo.

Jioni njema.

Shalom!
 
Mwaka 1989 hadi 1990 ulipofanyika huu utafiti kulikuwa na Chama kimoja tu CCM. Wafanyakazi wote wa serikali na binafsi walikuwa wanachama wa CCM kwa lazima.

By default naweza kusema with confidence wanachama wa ccm ni malazy kabisa duniani maana imethibitishwa na huu utafiti.wao wenyewe. Hata huyo mkurugenzi wa NPC aliyefanya huu utafiti alikuwa mwanachama mwandamizi wa CCM
 
Mleta hoja, unasema jambo ambalo linafikirisha sana na facts hazidanganyi. Naomba tukumbuke wakati mmoja Rais Mkapa akiwa madarakani alinukuliwa akisema, Watanzania wengi ni wavivu wa kufikiri.

Bila shaka kama kuna uvivu wa kufikiri sio ajabu kukawa na uvivu wa kutenda.

Sasa tuje kwenye basic facts, kwanini nchi hii mpaka leo tuna upungufu wa mafuta ya kula wakati ardhi ambayo hatuilima kibiashara ni kubwa kuliko ardhi ambayo tumelima?
Tuna import mafuta ya kula toka Malaysia nchi ambayo ni theluthi ya size ya Tanzania. Inasadikika miaka ya '80; Malaysia walikuja Tz kuchukua mbegu za michikichi. Malaysia ni nchi ya pili kwa foregn earning tokana na mauzo ya mafuta ya mawese.

Malaysia, Mawese yanatoa zaidi ya products 15, sisi hapa watu wa Kigoma wanauza mawese ghafi Burundi, Rwanda then sio ajabu baada ya muda Rwanda waka-export mafuta ya kula Kigoma.

Tanzania tuna idadi kubwa ya mifugo ikiwamo ng'ombe (kwa Africa sisi ni wa pili) lakini hatuna viwanda vikubwa vya kuchakata na kuuza mazao ya nyama nje ya Tanzania. Bila shaka Tz ni shamba na Kenya wananunua ng'ombe kwetu then wao wana-exports products za nyama.

Tanzania tuna sehemu kubwa ya maji ya mito, bahari na maziwa, ilitegemewa tuwe exporters wa samaki baada ya kuzalisha vya kutosha kukidhi soko la ndani, utakuta kuna records BOT na wizara ya bishara tukiwa miongoni mwa importers wa samaki.

Labda kuna conspiracy

Nawaza tu, What if kuna Conspiacy dhidi ya Rais wetu na dhidi ya Uchumi wetu II…?

au soma ni hii.

Ukiweza kusoma nondo hizi na ukatafakari bila shaka utaelewa kuna pahala tunazembea kama nchi na bila shaka huo uzembe ndio uvivu wenyewe kuanzia kwenye fikra mpaka vitendo.

Jioni njema.

Shalom!
Nimependa ufafanuzi wako ila nikuombe utupe na mapendekezo ya nini kifanyike japo huenda yasizingatiwe na wahusika ila naamini hili jukwaa ni kubwa huenda mmoja wetu akapata nafasi fulani
 
Asante kwa hoja yako.

Kuna wakati nilitoa mchango huu hapa kama sehemu ya suluhisho.

Ila niseme suala kubwa na la msingi ili tutoke hapa; twahitaji system thinking na mtu mpya akija na proposed working model basi apewe nafasi ili kile anachokiona aweze kuwa sehemu ya kuwa game changer.

Nitoe falsafa mbili kutoka kwenye biblia. Wakati mmoja Farao aliota ndoto ya masuke saba manyonge yakimeza masuke 7 manono. Baada ya Farao kumpata Yusuf akampa tafsiri, Farao sio tu alithamini tafsiri ya Yusuf anaoanaje, ila alimpa kazi ili awe sehemu ya kujiandaa na kutatua changamoto ambayo Misri ingeweza kuipitia.

Sisemi serikali ikae pembeni, ila ni namna gani ina-accommodate new brains kwenye kutatua matatizo yaliyotuzunguka.

Nini twakihitaji know how (ambayo bila shaka kuna watu wanayo na ndio hawa lazima serikali ikubali PPP); technology na fedha ili kuyafanya mambo yatokee.

Sio kila mambo serikali itatoa hela zake, ila serikali inaweza ku-set financial instrument zikatumika ili tutoke hapa.
Naomba nikiri, kuna mtanzania namfahamu aliwahi kutafuata audience ya kumwona kiongozi wa serikali ili apate just gov back-up ili apate investment loan kwa kushirikiana na wadachi ili ku-cut down import ya (chakula sitataja ni chakula gani hasa) ambapo soko kama uwekezaji ungefanyika lipo na mpaka sasa lipo. Ila haikuwa rahisi ku-break red tapes; na kuna wakati wenye access na wakubwa wanataka "unatuachaje" ili kuvunja red tapes.

Kama kuna nia ya kweli kutatua matatizo yetu, siwezi kuweka all the details, ila tunaweza kutafutana na kujenga collaborative efforts namna gani tutoke hapa.

Thamani ya mmea ni mizizi kujificha ili kufyonza virutubisho chini ya ardhi. Value ya utawala ni ku-accommodate brains za problems solvers kama Yusuf, ambao wapo, tupo na kama Farao (mfumo wa Utawala) una utashi na nia ya dhani, tutaweza kuwa game changers.
 
Mkuu umesoma kilichoandikwa ukaelewa? Au ni mvivu wa kusoma?

Taarifa inazungumzia uvivu wa watanzania, unaongelea chadema, CCM ni warundi?
Ana anachojua zaidi ya chadema basi! Hajui wengine wapo kazini pale? Shule za kata zimetuletea taifa la ajabu sana.
 
haya kazi iendelee. tutakuwa na break kidogo ya lunch. Mzee Sipunda H. R. ataleta ubwabwa.
 
Mleta hoja, unasema jambo ambalo linafikirisha sana na facts hazidanganyi. Naomba tukumbuke wakati mmoja Rais Mkapa akiwa madarakani alinukuliwa akisema, Watanzania wengi ni wavivu wa kufikiri.

Bila shaka kama kuna uvivu wa kufikiri sio ajabu kukawa na uvivu wa kutenda.

Sasa tuje kwenye basic facts, kwanini nchi hii mpaka leo tuna upungufu wa mafuta ya kula wakati ardhi ambayo hatuilima kibiashara ni kubwa kuliko ardhi ambayo tumelima?
Tuna import mafuta ya kula toka Malaysia nchi ambayo ni theluthi ya size ya Tanzania. Inasadikika miaka ya '80; Malaysia walikuja Tz kuchukua mbegu za michikichi. Malaysia ni nchi ya pili kwa foregn earning tokana na mauzo ya mafuta ya mawese.

Malaysia, Mawese yanatoa zaidi ya products 15, sisi hapa watu wa Kigoma wanauza mawese ghafi Burundi, Rwanda then sio ajabu baada ya muda Rwanda waka-export mafuta ya kula Kigoma.

Tanzania tuna idadi kubwa ya mifugo ikiwamo ng'ombe (kwa Africa sisi ni wa pili) lakini hatuna viwanda vikubwa vya kuchakata na kuuza mazao ya nyama nje ya Tanzania. Bila shaka Tz ni shamba na Kenya wananunua ng'ombe kwetu then wao wana-exports products za nyama.

Tanzania tuna sehemu kubwa ya maji ya mito, bahari na maziwa, ilitegemewa tuwe exporters wa samaki baada ya kuzalisha vya kutosha kukidhi soko la ndani, utakuta kuna records BOT na wizara ya bishara tukiwa miongoni mwa importers wa samaki.

Labda kuna conspiracy

Nawaza tu, What if kuna Conspiacy dhidi ya Rais wetu na dhidi ya Uchumi wetu II…?

au soma ni hii.

Ukiweza kusoma nondo hizi na ukatafakari bila shaka utaelewa kuna pahala tunazembea kama nchi na bila shaka huo uzembe ndio uvivu wenyewe kuanzia kwenye fikra mpaka vitendo.

Jioni njema.

Shalom!
Hata matunda yanatoka kwa warabu ambao nchi zao ni jangwa. sukari inatoka Brazil bado unauzwa bei chee, hapo nyuma tulikuwa tunaagiza mchele kutoka Thailand na nk. kwa sasa Apples na machungwa yamejaa supermarket. pamba za masikio, vijiti vya kuchomea mishikaki na tooth pick all are made in china. ukweli sisi ni wavivu mpaka kufikiri.
 
Sasa tunaanza kuelewana kabisa.

Elimu yetu ndio moja ya mchawi wetu. Ila Uongozi wa nchi ambao unadhibiti ubora wa elimu unawajibika moja kwa moja.

Elimu kwa kiasi kikubwa imewekeza kwenye "memorizing" na sio critical thinking. Ni aibu sana kuigiza toothpick yet kuna mianzi mingi sana Iringa na Njombe.

Ni aibu sana kuuza pamba ghafi halafu then tuna-import chupi, leso, surgical cotton na bandage (cotton products)

Kwa bahati mbaya, tuna muda mrefu hatujawahi kupata waziri wa Elimu anaeona muono wa kuwekeza kwenye critical thinking.
Ufaulu inapimwa kwenye mrengo usio sahihi.

Well, kuna siku tunaweza kutoka kwenye uvivu wa kufikiri; lini?
 
Unataka wabadili mfumo wa elimu Ili CCM Ife? Kwani wao wajinga?
 
Unataka wabadili mfumo wa elimu Ili ccm Ife? Kwani wao wajinga?
Hata CDM hawako exceptional. Wakati mmoja CDM waliaminishwa ZZK ni msaliti, wanachama wengi wakajaa. Kisa ni waraka wa akina Mwigamba na Prof. Kitila uliokuwa unajenga mkakati wa kumuandaa ZZK ili awe mkiti wa CDM.

2020 ZZK akaketi meza moja wakubwa CDM kusaini MoU kupinga matokeo ya uchaguzi. Kama wangekuwa wanafikiri vya kutosha, kumuita mtu msaliti kwa kujiandaa kimkakati kugombea uongozi na wanachama wakajaa, hapo kuna shida pahala.

Ni CDM hao hao kwa miaka mingi walimwita EL fisada, 2015 wakamsafisha kwa hisopo huku TL akigeuka na hoja nyepesi as if sio yeye ambae kwa miaka ya kutosha alimuimba EL kama mtu asie msafi.

Iko haja Watanzania tukaja na mijadala fikirishi yenye kufungua fahamu zetu kila mahali kwa ajili ya kesho njema kwetu, wanetu na wajukuu zetu.
 
Back
Top Bottom