Utafiti 2018: Unguja kinara katika ukahaba, ulawiti na madawa ya kulevya nchini

Huko unguja full misikiti hao mapapai wanatoka wapi? Cc : gavana
 
chanzo ni shughuli za utalii.. hiyo biashara ya ukahaba haiwezi kufa kama utalii unaendelea kwenye ukanda huo..
 
Mambo ya Ukahaba yanachapuka mno kutokana na shughuli za Utalii, Kuna makahaba mpaka kutoka nje ya nchi wamejaa kama Wa Kenya, Wa nigeria, South Africa. NA bado mazingira ya kitalii yajawa organized vizuri, Yakiekwa vizuri na haya mambo yatazidi zaidi.

Kuhusu mambo ya Ushoga kwa Kweli DSM ndio inaongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…