FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kuna siku ndugu yangu anayeishi uingereza aliniambia, inashangaza sana kwa nchi kama Tanzania ambapo mchanga unapatikana kila mahali halafu bado kuna watu hawachangamki kujenga na kumiliki nyumba.
Kwakuwa mchanga ni rasilimali adimu sana hasa uingereza na sehemu nyingi za Marekani, huwa wanatumia mbinu kadhaa kupata mchanga, mbinu ambazo ni ghali sana.
1.) Sea Dretching - hapa huwa wanatumia meli kubwa amabzo huwa na vifaa maalum vya kuchimba mchanga katikati ya bahari, kisha mchanga huo hufanyiwa treatment ili kuondoa chumvi chumvi , kisha huwa wanasundika mchanga huo kwenye viroba kama cement na kuuzwa kwa wenye uhutaji.
Yaani unanunua mchanga packaged kama cement. kule hakuna ardhi ya kuchimba chimba na kuacha mashimo hovyo kama huku. Hata hivyo, mchanga huu sio quality nzuri.
2.) Quarry sand - Hapa huwa wanafunga macrusher makubwa kwenye machimbo ya mawe ambapo huwa wanasaga saga mawe ili kupata chenga chenga za changarawe zinazofanana na mchanga, uingereza huwa inatumika sana hii mbinu, hata hivyo, mchanga wa aina hii sio quality kabisa, na ni ghali.
- Hivyo basi, ili kumudu gharama za kumiliki nyumba, wengi huingia kwenye utumwa wa Mortgage, ambapo makampuni makubwa yenye uwezo ndio hujenga nyumba na kuwauziankwa mfumo wa kukipa kidogo kidogo.
Makapuni haya huja kwenye nchi za Afrika na kusomba mchanga kwa kutumia meli kubwa, ni kama njia wanayotumia Zanzibar kuchota mchanga toka vingunguti kwa kutumia yale malorry makubwa ya kichina, wanasomba mchanga kweli kweli na kupakia kwenye mameli na kupeleka ulaya. Kupitia mfumo wa Mortgage wengi hufanikiwa walau kumiliki nyumba wakifikisha miaka 80.
- Njia nyingine ambayo hutumika sana Marekani ni kujenga Suburban neighborhoods kwa kutumia mbao na miti.., yaani hadi fensi zao huwa ni za miti.., kisha wanabandika wall paper, nyimba inapendeza sana, ila sasa, ni nyumba ikiyojengwa kwa kuni, na kama tunavyojua kawaida ya kuni.., matokeo ya umasikini wa kujenga nyumba kwa kuni ni huo hapo chini, angalia video.., umasikini mbaya jamani, khaa…
View: https://youtu.be/STXJWpPAvvg?si=J8Y9IG1tUhhNjGZc