Utafiti: 90% ya raia wa Marekani na Uingereza hawana uwezo wa kumiliki nyumba za tofali

Sababu nyingine nchi za wenzetu zinasumbuliwa na matetemeko na tsunami mbao n muhimu kwa usalama wao
 

View: https://www.instagram.com/reel/C-6ZXlkR_mg/?igsh=Mmc0M2Q1YnZ3cWgz
 
Kumbe ndio maana nilikua najiuliza hizi nyumba zilizoungua huko Los Angeles mbona zinawaka kama zimemwagiwa petroli. Sasa nimepata jibu
 
Bora huku kwetu kuna mchanga,maana miti tunatumia kwa kuni na mkaa,sasa ingekuwa tunatumia na kujengea nadhani tungekuwa saa hizi tuko jangwani...
 
Hii ni kweli kabisa. Kumiliki nyumba ni either una mortgage tu yaani unalipia almost maisha yako yote au ni tajiri/star kama akina Beyonce na Elon Musk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…