Utafiti: Bangi (msuba/ndumu/sigara kubwa/innocent plant/Marijuana) hupunguza nguvu za kiume

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
10,420
Reaction score
17,735

Wataalam wanasema Bangi inasababisha Mbegu za kiume kuwa vivu au na zinaogelea kwa kuzorota na kwa uzembe hivyo kuleta ugumu katika kutunga mimba.

Haipunguzi Sperm count bali uwezo wa sperm yenyewe hii ni kwa uvutaji Uliopitiza au wa mara kwa mara.

Chanzo,
Watafiti university of British Colombia Canada
 
Bob Marley kaacha watoto kumi na moja( wanaojulikana) Hailey Selassie 7
hata cocaine ilikuwa halali miaka ya 1900. utafiti ukaifanya iwe haramu...
huo ni utafiti, na mazingira yamebadilika...
yote kwa yote hiyo ni taarifa sio amri
 
hata cocaine ilikuwa halali miaka ya 1900. utafiti ukaifanya iwe haramu...
huo ni utafiti, na mazingira yamebadilika...
yote kwa yote hiyo ni taarifa sio amri
Kwani tunaongelea uhalali ama uharamu wake...sijaona hoja yako hapo, na pia huwezi kulinganisha herb na cocaine..two very very very different things!!...sawa ni taarifa lakini ni ya uongo!!
 
Kwani tunaongelea uhalali ama uharamu wake...sijaona hoja yako hapo, na pia huwezi kulinganisha herb na cocaine..two very very very different things!!...sawa ni taarifa lakini ni ya uongo!!
utafiti hauwezi kuwa wa uongo kwa mapenzi ya mtu bali utafiti unaopingana na ule.
vinginevyo laboratory zingegeuzwa vilabu vya pombe.
 
Kula bangi arifu achana na tafiti hasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…