Utafiti binafsi

Mkuu, yule mwanamke nayempenda sana mpk nikamtolea mahari ili nimuoe, kila siku namwona uchi na storongo haisimami mpaka istuliwe. Mtaani akikatiza binti mrembo storongo inasimama ghafla ikitaka kutimiziwa haja... Huoni hapo tayari kuna tatizo? Home kuna K ya bure unayoweza kuipata wakati wowote lakini unaiacha unaenda kutafuta ya kuihonga. Wanawake "watakatifu" wa JF hawapendi kuukubali ukweli huu ulio wazi kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke ana mapambo yake kwa mumewe kama mwanamke mchafu muda wote lazima utamkinai, lakini kama mwanamke smart muda wote kila ukimuona walete...lol.
 
Pole ndugu kwa ku kinaiwa..

Personal I don't believe this c r a p ...
 
Mwanamke ana mapambo yake kwa mumewe kama mwanamke mchafu muda wote lazima utamkinai, lakini kama mwanamke smart muda wote kila ukimuona walete...lol.

Ritz kumbe hata wewe unafika anga hizi? Lakini wanawake wa kipemba nawaaminia kwa maandalizi ya mwili na kunako 6*6!
 
Last edited by a moderator:
Ritz kumbe hata wewe unafika anga hizi? Lakini wanawake wa kipemba nawaaminia kwa maandalizi ya mwili na kunako 6*6!

ha haa ha, Mwita Maranya, siku moja moja kule jukwaa limechafuka kila mtu mbabe.

Mkuu umekwama nini kwa kitu cha kipemba.
 
Last edited by a moderator:
ha haa ha, Mwita Maranya, siku moja moja kule jukwaa limechafuka kila mtu mbabe.

Mkuu umekwama nini kwa kitu cha kipemba.

Kweli Ritz mara moja moja tunakuja huku kuondoa stress. Hapa ni kubanjuka tuuuuuu......!!!
Mkuu wapemba kwa kujiandaa usipime kabisa. Yaani hayo manukatano na maunyunyu wanayotumia hata kama umechoka vipi lazima upige game ya hatari.
 
Last edited by a moderator:
Kweli Ritz mara moja moja tunakuja huku kuondoa stress. Hapa ni kubanjuka tuuuuuu......!!!
Mkuu wapemba kwa kujiandaa usipime kabisa. Yaani hayo manukatano na maunyunyu wanayotumia hata kama umechoka vipi lazima upige game ya hatari.

Ha haa ha, Mwita Maranya, utakuwa umekwama mitaa ya Magomeni au Ilala, mambo ya kufukizwa na Kitezo na Al hudi, AshaDii, anayajua hayo ngoja aje atufahamishe mambo ya Al hudi.
 
Last edited by a moderator:
#

Ukweli ni ukweli tu mkuu..

Na isitoshe kinachotokea kwenye jamii ndio ukweli zaidi..Tatizo tunapenda kuamini sana tamthilia as 'mapenzi ni ya wawili tu'. Ukiangalia kwa makini hata kibaiolojia mwanaume ameumbwa tofauti na mwanamke na nadhani before we insist on infedility better we rely on how man sexual desire is developed.

Ila hapa najua tu walimu wangu gfsonwin na snowhite lazima watoke povu..
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke ana mapambo yake kwa mumewe kama mwanamke mchafu muda wote lazima utamkinai, lakini kama mwanamke smart muda wote kila ukimuona walete...lol.

Braza kumbe hata nyie wanasiasa kwenye mapenzi mumo!..
nice to meet you here bro..
 
mkuu nina mashaka na utafiti wako!
 
heee..kazi ipo!!

Mleta mada na huu utafiti wako binafsi ina maana umeshamkinai wife japo unaona jitihada zake zote za kurutubisha penzi? mweeh!!
 
uko sawa kaka, nilikuwa nasoma kitabu cha kamasutra kile original, kina maelezo kwa nini mwanaume mwisho wa siku pamoja na kupikiwa chakula poa na kupewa mechi kila anavyotaka bado atachomoka pembeni....

its human nature to dare for new challenges, something exciting. mwili wa binadamu umeumbwa kukumbana na challenges tofauti tofauti, na unapofanya jambo moja kwa muda mrefu huzoea na kuanza kupoteza msisimko kwa hilo jambo, so mhusika hujikuta anasukumwa kujaribu something different, hii ipo kwa wanaume na wanawake ila kwa wanaume ni sana kuliko wanawake
 
Unajua wakati nipo shule mwalimu wangu aliniambia anashangaa pale anapokuta mwanaume ni mwenyekiti wa kutetea haki za wanawake waliobakwa au waliodhalilishwa kijinsia!

Alisema ajabu ni vile mwanaume anavyokuwa mwenyekiti wa watu kama hao

mwalimu wangu akasemema hivi huyo mwanaume anaijua adha ya kubakwa kweli?au anaijua adha ya kushikwa matiti bila hiali?alicho shauri ni kwamba acha mambo ya kijinsia yatetewe na jinsia husika kwani hao ndio wana hisia kamili ya kile kinachoendelea katika miili yao!

So kwa hapa ningependa kuona wanaume wenyewe wakipinga au kukubali utafiti huu kwani wao ndio wanajua hisia za miili yao na sio wewe mwanamke!kwani ukweli ni kwamba hujui chochote kuhusu lust ya mwanaume!kama ntawaudhi kinadada amsor!
 
Braza kumbe hata nyie wanasiasa kwenye mapenzi mumo!..
nice to meet you here bro..

SnowBall umesahau mara hii mnavyowashikia bango wanasiasa wasiooa ama wenye nyumba ndogo?
Halafu mimi nadhani wanasiasa ndio wanapenda sana mechi za nje cup. Wakati wa mikutano ya vyama ama kampeni za uchaguzi ndipo kunakuwa na skandali nyingi za ngono baina yao.
Bila shaka umeshasikia tuhuma za viti maalum kuwa vyakula vya wazee wa chama!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…