Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
"Kwa Mujibu wa utafiti huu wa mwaka 2022-2023 ambao umefanywa na na Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS) na TACAIDS kwa Kushirikiana na Wadau mbalimbali wa Maendeleo kuhusu Maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi Tanzania umebaini makundi mengine maalum ambayo ni hatari kwa maambukizi ya Virusi vya UKIMWI ni pamoja na kundi la bodaboda, Jamii za Wavuvi na jamii za kwenye Migodi na Madini."
Ameongeza kuwa "Haya ni Makundi maalumu ambayo yameongezeka kutoka kwenye makundi yale matano ambayo tafiti za awali zilinbaini kuwa ni wanawake wanafanya biashara ya ngono, wanaume wanaofanya ngono na wanaume wenzao, watumiaji wa madawa ya kulevya hususani wanaojidunga Sindano, Wasichana balehe na wanawake Vijana wenye umri kuanzia miaka 15-24 pamoja na kundi la Wanaume Vijana".
Soma Pia: Watu 163,131 walikutwa na Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI mwaka 2023 Tanzania
Amesema hayo, Ndugu Renatus Simon Mukasa ambaye ni Mchumi mwandamizi na Kaimu Meneja wa sehemu ya Mpango na Bajeti kutoka Tume ya udhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS).
Bongotzfm