Utafiti bunge la katiba; wabunge hawajafanya mikutano ili kupeleka misimamo ya wananchi

Utafiti bunge la katiba; wabunge hawajafanya mikutano ili kupeleka misimamo ya wananchi

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,575
Utafiti uliofanyika unaonyesha kuwa ;
wajumbe wa katiba mpya na wabunge wengi wao inaonekana wamepeleka misimamo binafsi .
Baadhi wa wananchi wamedai wabunge hawajafanya mikutano na wannnchi kuwaelemisha .

Je wanataka serikali ngapi 2, au 3
nini faida na matatizo ya kuchagua serikali 2 au tatu

suala la ardhi ni mali ya raisi au wananchi.

Gharama za uendeshaji serikali zitapungua au kuongezeka.

Kura ziwe za wazi ili kujua msimamo wa jimbo au tasisi na sio siri (ikiwa siri itakuwa ni kura yake binafsi na si wananchi)

hii inaonyesha wabunge wengi watasukumwa na utashi binafsi na chama na sio wananchi.
 
Huo utafiti umechelewa kwani wananchi walipotoa maoni kwenye tume ya Warioba kuhusu aina ya serikali wanayoitaka hao watafiti walikua wapi? Mbona Kingunge amekuwa na na waganga usiku na kukubaliana msimamo wao watafiti hawakujua hilo?
 
wananchi tushatoa maoni yetu na wengi tunahitaji serikali tatu hakuna mjadala. huu ndio msingi wa hoja ya bunge hili kutoweza kubadili chochote isipokuwa typing errors na sarufi kama imekosewa
 
Sijui kama unakielewa ulichokiandika mleta mada.
 
Ulifanyikia wapi huo utafiti?tupe sampu ya utafiti wako?umefanya kw mikoa mingap nawatu wangapi?
 
Back
Top Bottom