Elections 2010 Utafiti: CHADEMA 74% Igunga, kama uchaguzi ungefanyika leo

Chadema ni tishio la makuadi woote wa kifisadi. Long live cdm, viva chadema!
 

Kuna msemo "Dont count your chicks before they hatch"... Isije ikawa mmehesabu na mayai viza. Kila la heri kwenye ndoto za 74%...
 
too ambitions. takwimu zako zinakinyaa. nashangaa wanaokunywa. afadhali ya mataputapu.
 
yaani hapa CCM, hawana chao.. Halafu siku wabunge wote wa CDM wawe mawakala katika vituo vya kupigia kura hapo wizi na uchakuaji utakuwa hakuna....
Ku surrender wakati mwingine ni uungwana lakini Magamba bado wamekomaa tu?????
 
Jamani CHADEMA kama uchumi unayumba zindueni kapu tuchangie tuikomboe nchi yetu, tumechoka
 
kama isiposhinda CDM lazima watakua wamechakachua, peoples powerrrrrrrrrrrrrrrr
 

Nijuavyo mie asilimia kubwa ya wapiga kura wako vijijini , huku mjini wengi huwa hatuna time. Sasa km CCM huko vijijini ina uwezo wa kupata kura 60-65, basi cdm kushinda huko ni ndoto.
 

Kumbe Thread hii umeileta ww, huwa huaminiki humu JF kabisaaaaaaaaaaa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…