Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Majaribio yaliyofanyika kwa zaidi ya watoto 400 wa Afrika Magharibi ya chanjo hiyo yanaonyesha kuwa inatoa ulinzi wa hadi 80% kwa hadi miaka 2, dhidi ya #Malaria inayogharimu maisha ya takriban watoto 500,000 wa Kusini Mwa Jangwa la Sahara kila mwaka
Chanjo hiyo imetengenezwa na Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford na Taasisi ya Serum ya India na wanatarajia kuwasilisha taarifa zake WHO ndani ya Wiki hii ili kuidhinishwa kwa matumizi
Mnamo 2021 WHO iliidhinisha chanjo ya #RTS,S Au #Mosquirix kama chanjo ya kwanza ya Malaria duniani
.....................................................
Trials in West Africa of a new malaria vaccine developed by Oxford University show it gives up to 80% protection for two years.
The jab was tested on more than 400 children.
Malaria, a parasitic infection spread by mosquitoes, kills about half a million children each year in sub-Saharan Africa.
The Oxford team is working with the world's biggest vaccine manufacturer, the Serum Institute in India.
The researchers say at least 100 million doses could be produced at low cost next year.
They plan to submit data to the World Health Organization within weeks to try to get the jab approved.
Source: BBC