#COVID19 Utafiti: Chanjo ya COVID-19

#COVID19 Utafiti: Chanjo ya COVID-19

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
(1)Hakuna Sayansi Duniani ambayo inaruhusu chanjo kwa Mtu/Watu wazima, hakuna hii kitu, Wala hakuna Sayansi ya namna hii Duniani.

(2) Kisayansi chanjo inahusu watoto, ukifosi Chanjo au ukilazimisha basi mtu asizidi umri wa miaka 18 - full stop, hii miaka 18 ni Chanjo ya kulazimisha.

(3) Sayansi gani inaruhusu chanjo kwa Watu wazima? Miaka 30 + kwenda mbele, mtu ana miaka 60 + anapewa chanjo !!!!!! Sijawahi ona Sayansi ya namna hii , hawa ni Draconian na Reptilia hakuna kingne hakuna Sayansi hapa, wizi tu.

(4)Kama Tanzania Kuna Madaktari bingwa na bobezi waniambie hii Sayansi ya chanjo kwa Watu wazima waliioma wapi, Nchi gani na Chuo gani?

UTAFITI NCHI ZILIZO POKEA CHANJO.

Uingereza na Chanjo yao ya Astrazeneca wamechanja watu wakafa kabisa na Waziri husika akasema tutaishi na Corona virus Kama mafua mengine hakuna Lock Down.

Afrika kusini ilipokea chanjo ikasitisha baada ya kuona haisaidii chochote zaidi ya kutia hasara pesa za walipakodi.

Kenya walipokea chanjo na wanazidi kuchanjwa na ndio wanazidi kufa na Lock Down ndio inazidi kila mkoa.

Marekani, Brazili na uingereza huko ndio wanachanjwa kila siku na lock down juu na ndio wanaongoza kwa idadi ya vifo.

UTAFITI UNAONYESHA, MADAKTARI 95% WANATAKA LOCK DOWN, CHANJO NA BARAKOA.

Swala la Corona virus Covid 19 ni swala la Kiroho, Sio swala la kimwili Kama mnavyo lichukulia.

Hapa Siri ipo ni kwamba mambo yote ni VITA BAINA YA ANUNNAKI na REPTILIA. Kuna vita inaendelea hata hivi sasa Na inafichwa na Serikali ya marekani kwa kupulizia kemikali ya CHEMTRAILS.

[emoji117]Inaelezwa kwamba Anunnaki , WALEMURIA, NA ATLANTIAN Wanapigana na ALIEN wa chini ya Duna (Wanao ishi kwenye Mbingu zilizopo Chini ya Ardhi) Draco-Zetas ama Reptilia, Greys na Green.

Inaelezwa viumbe hao ANUNNAKI wanarejea tena kuwaokoa Wanadamu Walio waumba na Wanatumia UFO's kama Henoko na ELIYA walivyotumia Kupaa. Ujio wa mara ya pili wa ANUNNAKI unaelezwa kwamba ndio sababu ya Uharibifu wa Kufungwa kwa Vinu vya Nyuklia kama ambavyo imeripotiwa na viongozi wa ngazi za juu wa idara za ulinzi nchini marekani.

[emoji117]Vilevile yapo madai kwamba, Serikali ya marekani imekua ikipulizia kemikali za Chemstrails angani kwa lengo la kuficha vita vya Aliens ambao ni ANUNNAKI wanao zima vinu vya nyuklia na pia kuharibu Ngome za siri za viumbe wabaya DRACO ZETAS chini ya Ardhi.

DRACO ZETAS Nao wanafanya juhudi za kuteka ulimwengu uwe upande wao na kuharibu DNA za Binadamu ili kutuzuia tusiweze kupaa na kupita kwenye Malango nyota (STARGATES) pindi NIBRU itakapo Rejea. Ndio haya mambo ya chanjo na mengineyo.

[emoji117]Utafiti umebaini kwamba kuna Serikali ya Siri inayotawala serikali Za Dunia. Serikali hiyo inaitwa DEEP STATE Hilo ni kundi linalo tengenezwa na watu ambao wapo mbali na utambulisho wa kitaifa, na wanatawala Dunia yote (Freemason sio watawala wa Duna ni Uongo wa kubuniwa, DEEP STATE Na WAZAYUNI ndio watawala wa Dunia). DRACOS ni Vampire ambao pia wana uwezo wa kubadili maumbo yao yaani "Shapeshifters". Viumbe hao wana Athari kubwa sana kwenye sayari ya dunia.

Jamii ya ALIENS aina ya REPTILIA (REPTILIAN ALIEN RACE) Wana ushawishi kwenye Serikali ya Siri (DEEP STATE).

[emoji117]DRACOS wanahusika kuharibu mpangilio wa DNA za wanadamu kupitia vitu kama hivi vya chanjo, sasa kwa sababu za wazi kwa kuvuruga mtiririko huo wa DNA na kupelekea kuzuia kupaa kwa mwanadamu, Lengo mahsusi lililotolewa kwenye nyenzo ya Alex Collier ilikua kwamba kwa mujibu WAANDROMEDA (ANDROMEDANS), wanadamu wanahusiana na kundi linalo fahamika kama PAA--TAI jina linalotumiwa na Reptilia.

Dracos dhahiri wanajua hadithi juu ya Paa-Tai Jamii pinzani kutoka mtizamo wa Draconian kwamba walitengeneza aina ya maisha ya wanadamu iliyo pingana na Falsafa ya Draconian (Draconian Philosophy).

Kiukweli PAA-TAI waliumba viumbe walio jiweza kwa asilimia zote kinyume na madhumuni ya Dracos, ndipo hitaji la aina ya Reptilia hawa (Reptoid/Dracos) Kudhibiti Uwezo wa Mwanadamu likaja

WAZO HILO LIKAFANIKIWA NA MWANADAMU AMEKUA DHAIFU KWELI, LAKINI BADO ILE NGUVU IPO KAZI NI KUIAMSHA NA SASA DRACOS WANALETA UTOPORO ILI KUIHARIBU NGUVU YETU ILIYO BAKIA.
 
Vile mwendakuzimu amefurahia bandiko lako kutokea huko kuzimu😁😁😁
AYrClH-.jpg
 
Mbona chanjo ya hepatitis b watu wazima wanachanja?
 
The ideas expressed in this post are not well thought out. If the originator continues not to utilize their brain, i bet it will be almost like new when go back to their creator!
 
Tutawaona kwenye chanjo ya Ukimwi kama hamtachanja!
 
Back
Top Bottom