Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Na hiyo 2% ndio wapo JF tu...hahahahNipo kwenye 2% na siringi.
Wakikushika wanakukata masikio aisee!Hiyo 2% ndio wako hapa JF na hao 85% wapo temeke wanajihusisha na uhalifu na matukio ya panyaroad
Hao wa Ijumaa na Jumamosi siyo mishahara hiyo.13% ndio wapo katika hiyo 300,000 mpaka 1,300,000?
2% ndio wanapata zaidi ya 1,300,000 ?
Nadhani 2% ndio itakuwa kubwa kuliko 13%, hata sijui ninachoongea ILA pita pita maeneo usiku wa Ijumaa na Jumamosi, utajua kati ya 2 na 13 ipi kubwa.
Mm nipo kwenye asilimia 1313% ndio wapo katika hiyo 300,000 mpaka 1,300,000?
2% ndio wanapata zaidi ya 1,300,000 ?
Nadhani 2% ndio itakuwa kubwa kuliko 13%, hata sijui ninachoongea ILA pita pita maeneo usiku wa Ijumaa na Jumamosi, utajua kati ya 2 na 13 ipi kubwa.
mseme tu asilimia 85% tunaishi bila kipato....yani sio tu chachini,hicho kipato chenyewe hatunaUtafiti wa Repoa uliofanyika Kati ya Machi na Aprili 2021 unasema 85% ya Vijana wa Kiume wenye chini ya Miaka 35 wanaishi kwa kipato cha chini ya Tsh. 300,000, huku wa Kipato cha kati wakiwa 13% na uwezo wa kupata Tsh. 300,000 hadi Tsh. 1,300,000 na 2% pekee ndio wenye kipato cha zaidi ya Tsh. 1,300,000 kwa Mwezi
Ripoti hiyo ilikuwa ikiangazia Ukuaji wa Miji unavyoongezeka, Upatikanaji wa Huduma za Umma kwa Usawa na Michakato ya Ushiriki wa Wananchi katika Maamuzi.
Chanzo: Ripoti ya Repoa
Ungekazia na ile picha yetu [emoji1]Vijana wanaandamwa sana haya tuiandame serikali sasa.
Hapana mzee hii takwimu ipo sawa..13% ndio wapo katika hiyo 300,000 mpaka 1,300,000?
2% ndio wanapata zaidi ya 1,300,000 ?
Nadhani 2% ndio itakuwa kubwa kuliko 13%, hata sijui ninachoongea ILA pita pita maeneo usiku wa Ijumaa na Jumamosi, utajua kati ya 2 na 13 ipi kubwa.
Ncha Kali maamaee. SemeeeenyaaaaaaNipo kwenye 2% na siringi.