FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Nimegundua kati ya maelfu ya maneno ya Lugha ya Kiswahili kuna neno moja tu la ilabu tupu nalo ni UA, kwa kumbushia tu, ilabu ni a, e, I, o, u. Na herufi zote zilizobaki ni konsonati, na ili neno liwe neno lazima uwepo mchanganyiko wa konsonati na ilabu mfano Uzi, hapo tunaona z ni konsonati.
Je, neno lipi jingine lenye ilabu tupu?
Je, neno lipi jingine lenye ilabu tupu?