Utafiti kuhusu sababu za Kufeli kwa wingi wanafunzi wa Kidato cha Nne 2012

Cambri

Senior Member
Joined
Nov 9, 2012
Posts
160
Reaction score
37
Wakuu naomba sana wale wanajami ambao wamebobea kwenye masuala ya utafiti waandae madodoso yenye lengo la kubaini sababu za wanafunzi kufeli kisha waweke hapa jamvini ili tupata sababu halisi toka kwa wadau wanaopita hapa jamvini
 
ngoja waje wajuzi watujuze,labda vyakula tunavyokula sasa vinaharibu wototo akili
 
Labda, lakin pamoja na hayo, mitoto yenyewe sikuhiz haisomi kabisaa kazi kunyoa viduku
 
Wakuu naomba sana wale wanajami ambao wamebobea kwenye masuala ya utafiti waandae madodoso yenye lengo la kubaini sababu za wanafunzi kufeli kisha waweke hapa jamvini ili tupata sababu halisi toka kwa wadau wanaopita hapa jamvini

Waandae madodoso utawalipa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…