Utafiti kwa wanaume wa Dar

Mzalendowadamu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
218
Reaction score
318
Nimekuwa naona mada nyingi kuwahusu hawa ndugu zetu wa Dar, niliamua kufanya utafiti binafsi kutoka vyanzo mbalimbali na sasa ninatoa machache huku nikiendelea kukamilisha utafiti kwa mambo hasa yale ya chumbani. Utafiti wangu nimeanzia katika namna wanaume wa Dar au hata wanawake walivyo wavivu kutamka au kuandika baadhi ya herufi hasa "H"na kutulazimisha tuwaelewe kwa makosa yao.
Mfano:-

Mahusiano - Mausiano
Mahaba - Maaba
habari - Abari
Tahadhari- Taazari
Kwakua utafiti unaendelea tafadhali ongeza ulijualo juu ya hawa ndugu zetu.
Kwa wale mlioguswa msisite kutukana maana ni kipengele katika utafiti wangu.
 
Badala ya "Huwa hawezi" inakuwa "hawezagi"
Thamani [value] - samani [vitu vya ndani]
Maradhi [sicknes] malazi =[mahala pa kulala] au hata kuandika ujinga tixa badala ya tisa, unashindwa nini kuweka "s" uweke "x" unakuwa umefupisha nini sasa! Mvvvvv!
Aghaaaa!
 
Nimekuwa naona mada nyingi kuwahusu hawa ndugu zetu wa Dar, niliamua kufanya utafiti binafsi kutoka vyanzo mbalimbali na sasa ninatoa machache huku nikiendelea kukamilisha utafiti kwa mambo hasa yale ya chumbani. Utafiti wangu nimeanzia katika namna wanaume wa Dar au hata wanawake walivyo wavivu kutamka au kuandika baadhi ya herufi hasa "H"na kutulazimisha tuwaelewe kwa makosa yao.
Mfano:-

Mahusiano - Mausiano
Mahaba - Maaba
habari - Abari
Tahadhari- Taazari
Kwakua utafiti unaendelea tafadhali ongeza ulijualo juu ya hawa ndugu zetu.
Kwa wale mlioguswa msisite kutukana maana ni kipengele katika utafiti wangu.
 
Magufuli anasema hakika huu ni "Muugiza"-Miujiza, anarudia tena "Msema Kweri ni mpenzi wa Mungu hiii"..kweri-kweli hili neno hiiii" nadhani ni kivumishi cha sifa
 
Miugiza! Yani kumg'oa mtoto mkali kama Sepetunga wanaume wa mikoani wao wanaona ni MIUGIZA wakati sie wa Dar tunajua tu ni pochi inazungumza! Teh teh!
 
Mapya yaibuka kuhusiana na wanaume wa Dar!.......Mimi nilifikiri wanakumbwa tu na tatizo la robo bao kumbe pia kuna mengine!
 
Mnaona miugiza na tunu kuwazungumzia wanaume wa dar? mtaishia kuwa wa mikoani ndio maana hata fiesta wanawadharau wanawawekea 10000 bando la siku
 
We mama uko mkoa gani,Mkuu wako mwenyewe dar ndo imemfundisha kuongea vizuri kiswahili,na ujue kiswahili kwao ni pwani,lafudhi bora kwa Africa mashariki na kati ni za Tanga,dar,Moro,na pwani.
 
Wanaume wa dar hawapotei katika maajabu ya dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…