Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Unajua maana ya tafiti ??Utafiti wangu unsonesha wana JF wengi wanapenda 'michambo' kuliko mada.. Wakati mleta mada anaweza kuambulia likes mbili tatu, comment moja tu inaweza kuambulia hata likes kumi!
We si ndo unatoboa macho wenzio...!! unataka likes zitoke wapi sa....[emoji54] [emoji53]Me nna lalamiko likes zangu hazizidi tano...wakati kila saa napata notification...sio kwamba napenda likes sana[emoji276]
Si mshanikamata jamani....We si ndo unatoboa macho wenzio...!! unataka likes zitoke wapi sa....[emoji54] [emoji53]
Me nna lalamiko likes zangu hazizidi tano...wakati kila saa napata notification...sio kwamba napenda likes sana[emoji276]
Mwal. Frank kanifukuza....siwezi rudi
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Mwal. Frank kanifukuza....siwezi rudi
Anajua kufunza chemical engineering???[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nenda kwa Ras Simba mama
Kila kitu mama mpaka jinsi ya kupata like nyingiAnajua kufunza chemical engineering???
Anha..basi ntaenda anifunze jinsi ya kukupata wewe...Kila kitu mama mpaka jinsi ya kupata like nyingi
Ata usiangaike kwenda kwa hilo li jamaa mimi mwenyewe natosha kukufunza jinsi ya kunipata.Anha..basi ntaenda anifunze jinsi ya kukupata wewe...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] heee hutaki niende tena??...Ata usiangaike kwenda kwa hilo li jamaa mimi mwenyewe natosha kukufunza jinsi ya kunipata.
Usiende tena mama we njoo PM tumalizane tu huku, huko kwa Ras naweza kukukosa bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] heee hutaki niende tena??...