UTAFITI: Likes nyingi JF zinapatikana kwenye comments, sio kwenye mada

Na ili upate likes nyingi ni lazima utoe comment inayofurahisha, kwa hiyo acheni mambo ya like, fyatueni watoto like zitakuja zenyewe tu
 
Kuna wengine hata wakicheka wanagongewa likes.
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] hasa wanawake na wale member maarufu hata akiandika pumba tu anagongewa likes za kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…