The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Katika utafiti uliofanywa na chuo kikuu kimoja nchini uingereza ukishirikisha watu zaidi ya laki 2 umeonyesha kua maisha ni magumu sana kwa wanaume wafupi na wanawake wanene ukilinganisha na wenzao warefu na wembamba.
Utafiti huo unaonyesha kua wanaume wafupi wengi hukabiliwa na uzito uliopita kiasi, magonjwa ya moyo, elimu ndogo, pia hulipwa hupata kiasi kidogo cha mapato ukilinganisha na wenzao warefu. Hali ni hiyo hiyo kwa wanawake wanene.
Why life is tougher for short men and overweight women
Height, body mass index, and socioeconomic status: mendelian randomisation study in UK Biobank
Unaweza kusoma mwenyewe.
Unadhani huu utafiti una ukweli wowote?