Utafiti: Mambo yanayosababisha Watanzania wengi kutokuwa na Mafanikio

Utafiti: Mambo yanayosababisha Watanzania wengi kutokuwa na Mafanikio

ze farmer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
922
Reaction score
1,804
Uchunguzi huru:
Unaonyesha kuwa "ROHO MBAHA" ya kutokupenda mtu mwingine kuendelea (90%) inaweza kuwa sababu kubwa ya watu kuendelea kusotea umasikini. Mfano tu leo ukitaka kuanzisha kiwanda kidogo tu ukaenda kwenye taasisi zinazohusika na usajili kuanzia vibali mpaka ubora n.k utakumbana na vikwazo kama huna moyo basi utakata tamaa mapema sana. Hii sio kuwa hujakizi vigezo ila kisa tu wanakuona ukiendelea wao wanaendelea kusota sio vizuri bora kusota wote. Hii ndo "ROHO MBAYA" na mbaya kabisa.
Hebu tufanye kautafiti ketu hapa.
1. Naomba yeyote atakae pitia uzi huu "LIKE"
2. Tutaangalia wangapi wamesoma na wangapi wame LIKE. [ROHO MBAHA=LIKE/READ].
3. Assumption: Kwa kuwa watu watafikiri "Kwa nini mimi nipate like nyingi" hivyo kutoa like inakuwa ngumu na hili ndilo linalotokea kwenye jamii.
NB. Ntatoa majibu baada ya masaa 24 kurusu wengi wasome na kupiga kura yao.
Karibuni.
 
Back
Top Bottom